Tukutane hisaje boko magengeni leo hii

Tukutane hisaje boko magengeni leo hii

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,211
Reaction score
35,863
Kwa wale watu wa maji ya dhahabu tukutane pale HISAJE kuanzia jioni tule burudani na DJ Seydou.Ukimuona mujamaa anayecheza kila muziki ujue ndio mimi!!! Kuna bia ya bure kwa kila mwana JF pro Chadema :rockon🙁uzuri nawajua wote!)

Najua kuna wanaJF wa pande zile Boko Magengeni ktk kiwanja hiki kipyaaaa!
 
Kwa member aliepo Uhuru peak tujumuike, ukiona mtu alie kaa na mwanamke mzuri kuliko wote ujue ndio mimi.
 
mi nakuja kesho bt naomba session ya kumix mi nami ni DJ
utamuweza Babu Dj Seydou weye? Babu anazeeka na muziki toka enzi za akina Dj Kalikali utakimbia mwenyewe hayo ma old skool!
 
loh!!! bila shaka Leo utacheza hadi taarifa ya habari.!!
 
hahahaha!! mkuu maji ya ilala balaa!!! ama kweli wape maskini kilevi wasahau shida zao! Karibu kamanda!
 
haha.!! mkuu na wewe karibu Tunduma boda ya wajanja,kuna bar inaitwa valentine. humo ni fulu mzuka mwanzo mwisho.!!
 
Tunduma boda la wajanja! huko yalikuwa yanafanyika matamasha ya hip hop kabla hata baadhi ya miji mikubwa kuanza kushuhudia!! Hilo boda lina kila starehe nasikia bana!
 
kwa yeyote aliyepo hapa Johanes burg Hotel karibu na wanyama sinza mori, ukiwa unaingia upande wa kulia utamuona papaaa kitalekwa nikiwa na mama yoyooo mrembo kabisa, karibu upate lager
 
Hapo huwa kuna mubendi live leo vipi bakurutu kama kawa?
 
Bakurutu ipo na yule jamaa wa fm academia mwenye ulemavu wa muguu katumbuiza kidogo watu wanafurahi then bakurutu na mzee wetu wa siku zote inaendelea, mie nakamata heineken baridi na mama anapata smirnoff ice , murua kabisa
 
Madame B karibu sana kiwanja hiki kipya kinachoaminika kama Bar kali sana hapa mujini kwasasa. Kabla hujaanza Bunju ulizia Boko magengeni ndipo tunapojificha siku hizi!
Yani hata usipate kazi kunielekeza.Hapo napafahamu tangu kunajengwa.Sasa wateja wa The Sitting Room na Rainer Park wamehamia pale.Nimehama hapo Boko Basihaya mwaka jana baada ya kuishi tangu 2005.Hvyo nafahamu Bar zote kuanzia Tegeta mpaka Bunju B.BTW MTAZAMO, kesho nitatimba hapo tokea FairWay hapo Nyaishozi.
 
Last edited by a moderator:

Anzia HISAJE bana Fairway hakuna kitu tena toka Dj Seydou aondoke pale kaondoka na member wote including mimi!!!
 
Usinambia wamemnyang'anya Mchaga wa watu Seydou.Seydou tulianza nae tangu Madrid Bar, tukaenda nae Fairway na sasa yuko hapo.Kudadadeki lazima kesho nije.Nitakuja na memberz kama 4 wa JF, Nije kuwaringishia kiota chetu kipya.
 
Kwa wale watu wa maji ya dhahabu tukutane pale HISAJE kuanzia jioni tule burudani na DJ Seydou.Ukimuona mujamaa anayecheza kila muziki ujue ndio mimi!!! Kuna bia ya bure kwa kila mwana JF pro Chadema :rockon🙁uzuri nawajua wote!)

Najua kuna wanaJF wa pande zile Boko Magengeni ktk kiwanja hiki kipyaaaa!

DJ aliyekuwa Fairway?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom