lyaguchunya
Member
- Aug 18, 2020
- 56
- 415
Ila watu mmevurugwa 😂😂Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana.
Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure.
Na sitaki mtoto wangu nimpeleke.
Akikua ataenda mwenyewe kwa uhuru wake. Nisihusishwe.
Ita jina lolote lakini sitoi
Baada ya kukatwa ilikusaidia nini?sasa govi linakusaidia nini??
kama kuna wanaopenda iliyopinda sitoshangaa wakitokea wanaopenda magovi 😂Vipi wanawake unawachakata wanasema kuhusu govi
siku hizi porn nyingi zimejaa magovinda 😂Umenikumbusha udogo unalivuta nyuma mida wa kuoga kuficha aibu ya wenzako kua umakatwa.
Vipi wanawake unawachakata wanasema kuhusu govi
Vipi wanakula pipi. Wanasemaje kuhusu kula pipi na ganda lake kmmmmmmm[emoji23]
usafi😂 halafu presentation inakaa vizuri, sio mdudu tena inakua mjegeje😂Baada ya kukatwa ilikusaidia nini?
Haiwezekani pipi kuliwa na ganda lake 🤣🤣🤣Umenikumbusha udogo unalivuta nyuma mida wa kuoga kuficha aibu ya wenzako kua umakatwa.
Vipi wanawake unawachakata wanasema kuhusu govi
Vipi wanakula pipi. Wanasemaje kuhusu kula pipi na ganda lake kmmmmmmm[emoji23]
Mi Sina mda wa kujificha naliachia tu. napenda kuoga publicUmenikumbusha udogo unalivuta nyuma mida wa kuoga kuficha aibu ya wenzako kua umakatwa.
Vipi wanawake unawachakata wanasema kuhusu govi
Vipi wanakula pipi. Wanasemaje kuhusu kula pipi na ganda lake kmmmmmmm[emoji23]
mwanamke siyo kabisa, mmoja alipost fb kuwa anatekenywa na magovikama kuna wanaopenda iliyopinda sitoshangaa wakitokea wanaopenda magovi 😂
Haiwezekani pipi kuliwa na ganda lake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe wapo kweli dah mtihani sana