Siamini maana Trump aliweka mbele maslahi ya kibiashara. Kwa vile vitegauchumi vyao vimeminywa ati wapindue nchi kijanja ili aliyewabana aondoke waingize atakayewaachia watuibieSasa anayekuja mbona utamuona Trump alikuwa anaipenda Tanzania. Anayekuja hacheki na kima.