donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Hamtakaa mtawale kwa amani, si mumeniibia kura zanguYes wakuu,
Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya. Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari,naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi. Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
Nipo Dupont Circle mkuuNipo huku upande wa North garden, we UKO upande gani mkuu
SANDF na SAA zinamaanisha nini?Yes wakuu,
Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya. Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari,naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi. Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
Saivi anajaza Clearance form white house
Sawa mkuuWewe mmatumbi urais wa USA unakuhusu nini? Pambana na hali yako huko Chitipa
πππSaivi anajaza Clearance form white house
Hahaha, rudi kwenye showbusiness 'cause that's where you fit.Hamtakaa mtawale kwa amani, si mumeniibia kura zangu
With an exception of Jiwe, Mihayo, Ndugai, Kaijage, DEDs, Siro etc etcTukio liko mubashara BBC, Ak jazira,CGTN, Sky news nk. nk
Sehemu mbalimbali nilizopita nimeshuhudia watanzania wakishuhudia sherehe hizi za kidemokrasia wakiwa katika kumbi za starehe kana kwamba wanaangalia mpira.
Maendeleo hayana vyama!