Tukutane hapa tunaosubiri United States Presidential Inauguration!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Yes wakuu,

Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya.

Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi.

Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
 
🤣🤣🤣
6486122.jpg
 
Yes wakuu,
Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya. Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari,naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi. Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
Hamtakaa mtawale kwa amani, si mumeniibia kura zangu
 
Yes wakuu,
Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya. Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari,naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi. Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
SANDF na SAA zinamaanisha nini?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom