Captain Doug
Member
- Jul 24, 2015
- 60
- 20
wadau walosoma zamani kidogo na hata sasa ni shule gani enzi hizo zilikua zikisifika kwa ugomvi na migomo... Binafsi nilikua nasikia kuhusu milambo,kibiti na tambaza mpaka nikatamani japo nisome kwenye shule mojawapo ili nijionee mwenyewe....taja shule yoyote ni vyema ukatukumbusha na tukio kubwa ulolisikia au kukumbana nalo live live shuleni hapo...Thank u all