Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 34,313
- 54,922
Na ndugu yako mwingine Dotto Koloko yuko wapi mkuu?Yule kijana wa mwl.Mgumia wa S/Msingi Mkoani zamani.Mkuu kipi kimekujuza km mie ni mdugu wa marehemu Ibrahim mgumia!?
Maana sijatoa details zote za msingi, zaidi ya kusema eneo nililokuwa naishi ambalo walikuwa wanaishi watu mamia kwa mamia.
Ning'ate sikio kidogo