Masinki
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 695
- 461
Baada ya ufafanuzi mzuri na ushirikiano kutoka kwa baadhi ya Wana Singida leo ni zamu yenu Wana Tabora(mboka Manyema)!!!haswa Tabora Manispaa
Maswali yangu ninayoomba kujua ni kuhusiana na Mkoa wa Tabora especially Tabora Dc hali ya maisha,kipato Cha wananchi,mitaa mizuri yakuishi,Nyumba za kupanga na bei zake,hali ya hewa,tabia na mwenendo wa wakazi wa Tabora!!!
Vyuo vilivyopo,sehemu za kutembelea weekend(bar,lodge,restaurant,hotel na maeneo mengine)hali ya usafiri,chakula upatikanaji wake,vitu pendwa,visivyo pendwa!!!
Warembo wapo au ndio Kama Mara kila mtu mbabe???na mengineyo
Nitashukuru kwa ushirikiano wenu
Ghetinya-Manchemwero,Tanzania