Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Hanging with Mr. Cooper
View attachment 402157
Perfect strangers
View attachment 402158
Family Matters
View attachment 402159
Robocop
View attachment 402160

Dark Justice
View attachment 402161

Pointman
View attachment 402162

Kwa kipindi hicho local TV zetu zilikuwa na vipindi vizuri sana mtu hata hufikirii kutafuta channel za nje
Aiseee...
Enzi izo jmos asubuh mida ya saa tano hiv itv lazma waweke pointman, badae usiku robocop,

Perfect strangers hao jamaa nliwapenda sana vituko vyao.....dooh!
 
CTN walikuwa na movie fulani za kizamani sana, zilikuwa zinaitwa TNT Classic Movies. Nilikuwa napoteza muda sana kuziangalia hizi.
Yaaah....nakumbka hata mama alimnunulia dada angu gauni flan hv limejaa kuanzia kiunon kushka chin....wakawa wanaliita gauni la TNT mwe!
 
Nani anamkumbuka comedian Mr Cooper?? Alishakuja Tanzania jamaa.
images
Nilisikia et alikua mpenzi wa diva wa ala za roho, alijatapa sana yule dada....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom