Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

hii hapa nyingine......................mzee otis anampa kijana kinyuko baada ya jaji kumuachia huru, yeye akaona hapana hawezi kuondoka bila kupewa dozi hata kidogo.
 
Attachments

  • Old_Otis__from_Martin__in_court_flv_medium.mp4
    5.1 MB · Views: 30
Hili ndilo tangazo la christmass ambalo hata coca cola wenyewe wanakili walipitiliza ubunifu.................lina mzuka wa hali ya juu. Kama uliliona utotoni miaka ya 1996 basi unaweza tokwa na chozi maana linarejesha kumbukumbu nyingi sana za miaka ile wakati huo sikukuu ilikuwa ni raha sana tofauti na sasa.
Daaaaaaaaaaaaaaaah we Jamaaaa Samcezar nimekukubali Sana afu huwezi amini Jamaa kibao wananiuliza umelitoa wapi hili tangazo nimewaambia nimeenda itv hahahah asante sana good Memories mkuu upo vzr sn kaka

Ha ha ha ha ha ha we jamaa umewafix ....ha ha ha ha ha hiyo ni shida.
 
Bo Brady, Marlena Evans, John Black, Hope,Stephano Dimera etc..hawa ilikuwa ikifika saa 2 kasorobo usiku lazima uangalie days of our lives CTN
 
Hili ndilo tangazo la christmass ambalo hata coca cola wenyewe wanakili walipitiliza ubunifu.................lina mzuka wa hali ya juu. Kama uliliona utotoni miaka ya 1996 basi unaweza tokwa na chozi maana linarejesha kumbukumbu nyingi sana za miaka ile wakati huo sikukuu ilikuwa ni raha sana tofauti na sasa.
Hili tangazo lilikubalika sana na wadau wengii kipindi kila safi sana mleta tangazo
 
hii ni intro scene ya commedy ya "MARTIN". Hapo ni martin amejitengeneza kama mzee otis. Mzee mtata sana huyu hapendagi dharau kutoka kwa vijana kama hapo huyu kijana kachezea kichapo toka kwa mzee otis na wazee wenzake hadi kakoma mwenyewe. Yaani yeye ugomvi wake upo na vijana watukutu hakubali hata sikumoja kijana akosee adabu halafu amuache bila kumnyuka. Ukitazama mwishoni utamuana martin mwenyewe akiwa na mkewe Geena, shineyney (martin akijivalisha kama mdada mkorofi mwenye rasta), then utamuona martin bibi (akijivalisha kama mama yake martin) ila kuna wakali wawili tena yaa " Dragon fly jones" , Jerome na Mr. hawai hao nitawaletea clips zao soon muone jinsi martin alivyokuwa mkali kwenye kujibadilisha badilisha kuwa character wengine.
Samcezar upo vzr ndugu Kisare angu
 
Wengine tulikuwa bado hatujaingia mjini! Duh..tumetoka mbali.

Nakumbuka nimeingia mjini ndo stand imehamia Ubungo from Kisutu! Ikawa shughuli kumtafuta mwenyeji wangu...na mvua ilikuwa inanyesha....

Huyu Mungu yupo aiseee..ambaye haamini hana budi kuamini! Some of us are the living testimony!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom