Tangu lini mpwa umekuwa mzungu????_mnakula pamoja mfano ugali, mtu aacha kula upande wake anakuja kumega upande wako [emoji3185]
_mnakula pamoja , ghafla mtu anastop anaenda msalani akirudi anaendeleza kupiga menu na mnashea [emoji34]
_mnakula mfano nyama, mtu anachagua chagua ,badae anaona kipande kinachomfaa ndio anakichukua [emoji2957]
_mnakula pamoja, mtu anapiga chafya hazibi mdomo, particles zinawarukia [emoji855]
_mnakula wali maharage may be na mchuzi wa nyama, vimechanganywa kwenye sinia, mtu anafinyanga Kama tonge adi michuzi inachuruzika kwenye kiganja , inatia kinyaa [emoji34]
Ongezea nyingezo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hyo mbaya sana nkikutana na mtu wa hvo naondoka zangu,juzi nimekaa na mfanyakazi mwenzangu(me)mda wa chai nasikia fyuuuu,we niliondoka maana kdogo nitapikeUnakunywa chai/uji alaf unaivuta kwa mdomo hadi unaskia frrrrrrriiii ... Siyo ustaarabu acha ushamba
Yupo hapaNampataje
Hii noma [emoji23]Mnakula pamoja mtu kavaa shati LA mikono mirefu na analivusha juu ya msosi km daraja LA mfugale kutafuta mboga upande was pili
[emoji16][emoji23]Mnakula pmoja jamaa anang'ata tonge alafu anarudisha tena kwenye bakuli LA mboga
Hongera kwa mama-kulamba mkono/vidole [emoji2297] nachefukwa kupita maelezo.
-na hizo tabia zote ulizoweka mleta mada sizipendi mno
Namshukuru mama angu ametulea katika ulaji wa kistaarabu mno
[emoji1787][emoji1787]Unakwenda ugenini mnakula mtoto wa mwenye nyumba anakukodolea macho mwanzo mwisho
Inaletwa mihogo ya kuchemsha, mtu anang'ata anauweka is pembeni akisingizia ni mchelema lkn mkimaliza ya kwenye sinia yeye anarudia Ile aliyong'ata kwa kusingizia kuwa ni michelema
Kabisa! mtu ni afya mnakulaje sahani mmoja?Watoto wa ushuani hawajui ulisemalo
Mko mtu 3, mnenda bar mnaagiza kitimoto 1kg na ndiz kadhaa, mmetengewe kila mtu sahan Yake ?Kabisa! mtu ni afya mnakulaje sahani mmoja?
Duuh, baby jamaniMnakula lnatokea jitu lina mafua linaanza kuyavuta ile sauti inakeraaa. Unataman umwambie akayatoe na asirudi mana n kama atarudi na uchafu
Kama kuna watu ambao ukila nao utakoma ni wachina aisee, wanakula vibaya vibaya sana yani kwetu sisi zile zote ni bad table manners_mnakula pamoja mfano ugali, mtu aacha kula upande wake anakuja kumega upande wako [emoji3185]
_mnakula pamoja , ghafla mtu anastop anaenda msalani akirudi anaendeleza kupiga menu na mnashea [emoji34]
_mnakula mfano nyama, mtu anachagua chagua ,badae anaona kipande kinachomfaa ndio anakichukua [emoji2957]
_mnakula pamoja, mtu anapiga chafya hazibi mdomo, particles zinawarukia [emoji855]
_mnakula wali maharage may be na mchuzi wa nyama, vimechanganywa kwenye sinia, mtu anafinyanga Kama tonge adi michuzi inachuruzika kwenye kiganja , inatia kinyaa [emoji34]
Ongezea nyingezo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
mpo mezani unakuta member 1 hali kwa mwendo na kanuna kwelikweli_mnakula pamoja mfano ugali, mtu aacha kula upande wake anakuja kumega upande wako [emoji3185]
_mnakula pamoja , ghafla mtu anastop anaenda msalani akirudi anaendeleza kupiga menu na mnashea [emoji34]
_mnakula mfano nyama, mtu anachagua chagua ,badae anaona kipande kinachomfaa ndio anakichukua [emoji2957]
_mnakula pamoja, mtu anapiga chafya hazibi mdomo, particles zinawarukia [emoji855]
_mnakula wali maharage may be na mchuzi wa nyama, vimechanganywa kwenye sinia, mtu anafinyanga Kama tonge adi michuzi inachuruzika kwenye kiganja , inatia kinyaa [emoji34]
Ongezea nyingezo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
πππππππladha ya chloroquineDaaa! Umenikumbusha mbali sana. Bibi yangu mzaa baba alikuwa anakasirika kweli. Anakufokea mpaka chai/uji unaona una radha ya chloroquine
ππππππKuna mwamba huyo akiona mboga imepungua anabeba bakuri anashikilia mkononi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Maisha kuishi kwingi kuona mengi
James popote ulipo salimia Wananchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mwamba mmoja alikua na AC kinywani sio kwa speed ileSpidi yako ndo kushiba kwako sasa chakula kiwe cha moto ndo mtajua hamjui....kuna jmaa yangu atakochowafanya hamtoamin kama ana feni kwnye koo.
Sent using Jamii Forums mobile app