Tukumbushane stori za mateja

bangi mkose nyie mnaoleta story za mateja humu, niwe nayo mie wa kusoma? achana na mimi niko busy na shule nije kuwaongoza baadaye.

uko busy na shule au jf? wewe ni teja tu, na ukishapiga huo msuba wako ndo unaaandika ushuzi wako hapa. Tutadili na wewe mpaka uletewe posa ndo tutakuachia.
 
mwanaume gani anampasha mwenzake? au ushazoea kupashwa nini?

unaona bangi inavokuzingua eeh'ooh sorry mapouuda yanavyokuzingua? Nani kakuambia Angel Nylon ni mwanaume? Acha uteja dogo, acha ganja dogo hicho kichwa ni cha panzi
 
me m'ke babuu weeee!!!
Au kwenu kuna angel wanaume?

mpaka hapa jf itakuwa imethibitisha kuwa huyu dogo ni teja kweli na kichwa chaki si kizima.. Na upeo wake ni mdogo saaana, ni kichwa cha panzi . Na ni balehe inamsumbua, huenda ukienda hapo geto kwake kama avator yake inavyoonyesha utamkuta na vipande kibaoo vya sabuni ya geisha au ayu kwe godoro lake.
 
ngoja niende zangu tuition m,shaanza ya kwenu, wivuwivu tu.
 
hii sasa si poa kabisa,nimetegemea nicheke leo ili siku iwe poa, lakin naona majibisano yasiyo na msingi,aaaaaaaaggrrrrrrrr.
 
hii sasa si poa kabisa,nimetegemea nicheke leo ili siku iwe poa, lakin naona majibisano yasiyo na msingi,aaaaaaaaggrrrrrrrr.

usikurupuke kusema majibizano yasiyo ya msingi,hujui dogo anachofanya humu jamvin kwenye thrd za watu,hvyo jiulize kwnn watu wamemkomalia hvyo.
 
unajua kuna watu waliambiwa jamii forum ni siasa tu kwa hyo ye hajui hata wapi anabonyeza anakurupuka tu anavamia'weee WAKUSOMA tembeza ****** mbele usifikiri kila sehemu watu wanataka upumbavu wenu wa siasa'afu nmekustukia we hujui na humu mtu tu kakuingiza afu umeingia kishamba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom