Tukumbushane stori za mateja

Tukumbushane stori za mateja

Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?

hahahahahaha no comment
 
Yani bora hata wewe umwambie labda atasikia, hili jukwaa la utani @ wa kusoma! mbona unakuwa mshamba sana ndugu? sijui jike au dume? hata hujasoma jukwaa unakimbilia kuonesha ujinga wako, watu kama wewe wapo wengi sana wanaotaka kuonekana wanajua sana kumbe hawajui! yani wewe hujui kitu ila unalazimisha kujua. Hili jukwaa la utani si la siasa so post yangu ni ya utani. Peleka siasa zako kule kwenye jukwaa la siasa! mara ooh namfahamu nimwanike hapa.......aibu kweli! ngoja nijilalie mie.
naona huyo jamaa kama sio teja basi ni shoga kwa nn hataki waandikwe wanaandikwa kina jk itakuwa mateja na hii pia ni njia moja wapo kufikishia jamii na mateja kwa ujumla nini wanakiwaza wanapokuwa high achana na huyo pambaf
 
we nitadili na wewe mpaka uhame hii jukwaa,unatuharibia jukwaa unga unaovuta unakupeleka pabaya.

umeona mkuu huyu dogo anaishi getto, anaglia hata hiyo avator yake katundika nguo kibao ukutani kwa kutumia misumari, na hapo getto hakosi bangi huyu, huyu ni kumpiga mande hapa jukwaani mpaka ahame.
 
umeona mkuu huyu dogo anaishi getto, anaglia hata hiyo avator yake katundika nguo kibao ukutani kwa kutumia misumari, na hapo getto hakosi bangi huyu, huyu ni kumpiga mande hapa jukwaani mpaka ahame.
thread nzima kaiharibu,ataona JF chungu ngoja aendelee
 
Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?

Where's the humor in this..............?

Kucheka ni afya ndugu yangu weye unatoka sayari gani?
 
Mpasheni huyoo, me nna wsws ana lake jambo. Kaharibu kila kitu.......
Pambaf zake
 
umeona mkuu huyu dogo anaishi getto, anaglia hata hiyo avator yake katundika nguo kibao ukutani kwa kutumia misumari, na hapo getto hakosi bangi huyu, huyu ni kumpiga mande hapa jukwaani mpaka ahame.

bangi mkose nyie mnaoleta story za mateja humu, niwe nayo mie wa kusoma? achana na mimi niko busy na shule nije kuwaongoza baadaye.
 
huyu form two (wa kusoma) nani kampa simu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom