Tukumbushane misemo ya kina dada wa uswazi (misemo ya uswahilini)

Tukumbushane misemo ya kina dada wa uswazi (misemo ya uswahilini)

Mwanaizaya uciejua vibaya wewe leo utanijua...

Mtu mwenyewe umekuja mjini icku na gari la samaki wanuka shomboooo hehehehee inahusuuuuuu ualijua jiji na mataa yake

Mwanaizaya mtoka pabaya we
 
Kuna moja maarufu sana hapa jamvini ' Acha kuhorojoka punguani wahed'
 
We ndala tuu...thamani yako chooni...ndani waishia mlangoni...
 
Hapo sasa akichambwa mkaka utasikia "unanini wewe mwanaume pajama hadhi yako chooni umetembea sana jikoni " teeeenaaaa
 
Nitahamia uswahilini nijifunze haya!
 
Ukiuliza kwann unatembea na mume wa mtu utajibiwa mume wa peke yako utamtoa wapi shoga??!
 
Back
Top Bottom