truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
Kwa mfano: mdada anamsuta mwenzie kwa kumwambia, 'leo ndo utajua kwa nini maharage si mboga', 'utajua kwa nini jogoo la shamba haliwiki mjini', 'leo utajua kwa nini bata anaharisha', nk.
Kantangazeeee....!!!
Kwa mfano: mdada anamsuta mwenzie kwa kumwambia, 'leo ndo utajua kwa nini maharage si mboga', 'utajua kwa nini jogoo la shamba haliwiki mjini', 'leo utajua kwa nini bata anaharisha', nk.
leo utajua kilichomtoa UKAWA bungeni.!