Tukumbushane, kumpiga mtoto hakumjengi

Tukumbushane, kumpiga mtoto hakumjengi

Imeandikwa mtoto usimnyime mapigo....afu watoto wa kiafrika bila kiboko ni ngumu sanaa kuelewa, naamini katika kiboko....ila isiwe too much maana kwenye punishment sio viboko tu
Kuna tofauti gani kati ya watoto wa kiafrica na wengine duniani, mpaka useme watoto wa kiafrica wana deserve viboko ili wawe disciplined?
 
Mmeshaanza uzungu wenu wa kipumbavu.ndo maana siku hizi kuna mashoga nimeshajua sababu Ni nini
 
Hahaaha ukimchapa mtoto kwakua hajui hesabu ataichukia...na ukimchapa kwakua amekula mboga za majani nazo ataziona nuksi ...sasa niaje ukikakuta katoto kako kameinamishwa na mwenzake wana fanya utasema usimpe mchapo kwakua atachukia sex au utamuache aendelee kuinama na kubokolewa..[emoji849]Mama yangu alikua mshika dini nilikua nikizingua ananiambia nakuchapa na mungu atanibariki..ila faida nimeiona leo..lazima watoto wajue kuwa wazazi wao wanawapenda na lazima wajue kua hawataki mambo ya kipuuzi..watoto wanamtindo wa ku beep waone umekaa vepe so unavyo mchukulia poa mtoto nayeye anakuchukulia poa vle vle...
 
Ukiondoa hiyo blue hapo... wewe hufai kuwa mama bora kule kwetu Mpitimbi.

Ukaolewe hukohuko Masaki ili maushauri haya upeane na mashosti wenzako kina Mange Kimambi, Shilole na Lulu.

Hivi 'favourite toy' kwa mfano huku Tandale kwa Mtogole utalinunua kwa ajili ya nini kwa mfano??

hebu kuweni wamama wa asilia wa kiafrika, acheni kuiga mambo ya wazungu ambayo hamuyawezi...
Wamekazana na favorite toy na vyakula vya mabox wanasahau hata lishe ya mtoto,mwisho kitoto chakiume kiko kama kischana
 
Majority walichapwa na wakafaulu ndio maana mwanzoni nika kwambia,hakuna educational theory inayofanya kazi kila sehemu.

Ngoja nikupe mfano. Kuna shule moja hivi hapa Tz ilibahatika kupata mwalimu wa kujitolea kutoka peacecorps, yule mwalimu alikuwa hapendi itikadi za kibongo za fimbo,ikafika mda wa kushika zamu,siku ya kwanza wanafunzi kama 50 hivi walichelewa kufika shule,hakuwachapa ila aliwapa zoezi la kuandika maneno 300, kesho yake wachelewaji wakaongezeka,akawaambia waandike maneno 1000 siku ya tatu akakuta nusu ya wanafunzi wamechelewa kufika shule......unajua nini kilifuata?

Yule mwalimu aliombwa walimu wamsaidie kuchapa..........dada hii ni Africa na usisahau alietunga theory X na kusema human being are lazy hakukosea na aliye tunga theory Y na kusema human being are not lazy but are made so by the nature of organization hakukosea.

Educational theories are contigent dada.
Mkuu nimekuelewa mfano wako,thanks,Ila I believe Hao watoto walikua wakubwa kidogo,
na wamekuwa abused kwa kipindi kirefu na wameaccept kuwa abuse ni part of life,ndio maana wakamuignore huyo mwalimu,
mkuu mtoto aliyekua abused anahitaji psychological interventions from specialised professional... NA habadiliki over night.it takes time

Mie nilikua naongelea watoto wadogo,ambao wanakua, tunaweza kuwashape bila viboko. Siongelei watoto ambao washakua abused both at home kutoka kwa wazazi na shuleni kwa walimu. Kwa hili special intervention inahitajika.
 
Afu wanalalamika watoto wa siku hizi wameharibika, kumbe wamewaharibu wao!
 
Ukiondoa hiyo blue hapo... wewe hufai kuwa mama bora kule kwetu Mpitimbi.

Ukaolewe hukohuko Masaki ili maushauri haya upeane na mashosti wenzako kina Mange Kimambi, Shilole na Lulu.

Hivi 'favourite toy' kwa mfano huku Tandale kwa Mtogole utalinunua kwa ajili ya nini kwa mfano??

hebu kuweni wamama wa asilia wa kiafrika, acheni kuiga mambo ya wazungu ambayo hamuyawezi...
mbona wetu huwachapi?!!
 
Majority walichapwa na wakafaulu ndio maana mwanzoni nika kwambia,hakuna educational theory inayofanya kazi kila sehemu.

Ngoja nikupe mfano. Kuna shule moja hivi hapa Tz ilibahatika kupata mwalimu wa kujitolea kutoka peacecorps, yule mwalimu alikuwa hapendi itikadi za kibongo za fimbo,ikafika mda wa kushika zamu,siku ya kwanza wanafunzi kama 50 hivi walichelewa kufika shule,hakuwachapa ila aliwapa zoezi la kuandika maneno 300, kesho yake wachelewaji wakaongezeka,akawaambia waandike maneno 1000 siku ya tatu akakuta nusu ya wanafunzi wamechelewa kufika shule......unajua nini kilifuata?

Yule mwalimu aliombwa walimu wamsaidie kuchapa..........dada hii ni Africa na usisahau alietunga theory X na kusema human being are lazy hakukosea na aliye tunga theory Y na kusema human being are not lazy but are made so by the nature of organization hakukosea.

Educational theories are contigent dada.
anataka apingane na Mungu
chapa sana tuu!

wa kwangu alikua analega shule na hivi so called English medium hawachapi basi nikaitwa shule

nikamtaarifu kua nakuja shule Ila ntakuchapa sana Leo

nimefika nimechapa haswaaa...mpk mwl akamuombea msamaha na akachange for good

huo uzungu miye sina
 
Kunasehem nilisikia Dr. anaemtibu Magufuli alikuwa hapendi shule,wazazi wake wakamkabidhi kwa mwalimu,alichapwa mpaka akashika adabu,leo hii anamtibu raisi wa nchi.
 
Mkuu nimekuelewa mfano wako,thanks,Ila I believe Hao watoto walikua wakubwa kidogo,
na wamekuwa abused kwa kipindi kirefu na wameaccept kuwa abuse ni part of life,ndio maana wakamuignore huyo mwalimu,
mkuu mtoto aliyekua abused anahitaji psychological interventions from specialised professional... NA habadiliki over night.it takes time

Mie nilikua naongelea watoto wadogo,ambao wanakua, tunaweza kuwashape bila viboko. Siongelei watoto ambao washakua abused both at home kutoka kwa wazazi na shuleni kwa walimu. Kwa hili special intervention inahitajika.
Wewe,hii ni Africa ipo nyuma sana kimaendelea na ustaarabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom