Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,102
We babu mambohe!!! Kumbe???
We babu mambohe!!! Kumbe???
Mkuu kuna anaechapwa kwa kuonewa shuleni? Mmmmnh,viboko ni abuse,kama ulikulia kijijini ukachapwa na haikukuaffect then good for you, ila kuna watu Katika hilo kundi la waliochapwa, walifeli masomo na kuwa damaged for life.Mwanafunzi/mtoto anaechapwa akajisikia vibaya ni yule aliyechapwa kwa kuonewa otherwise mtoto/mwanafunzi hawi na kinyongo kabisa.
Na ninachosisitiza sio kila wakati unachapa,na sio kila wakati huchapi,fimbo inaumuhimu ila busara itumike zaidi kwenye kutoa adhabu ya fimbo.
Asante mrembo,nakujaNakunywa bulimi, karibu.
Poa... hivi unajua navokumisi lakini??We babu mambo
Safi sana!! Sasa unaanza kuwa mama bora.Mmnh tunaingia kwenye ubora Sasa?!what next?? Eti unashinda unakunywa maji?!really?! What about kununua toy kwa mwanao??! Ah!nimekumbuka ni wa Masaki tu ndio wanapaswa kuwanunulia watoto wao toys... Mnhhhh
Asubuhi yote hii jamaniii...kumisiana vepeePoa... hivi unajua navokumisi lakini??
Afu unajua ahadi ni deni??
Hakika wewe ni mama bora...Imeandikwa mtoto usimnyime mapigo....afu watoto wa kiafrika bila kiboko ni ngumu sanaa kuelewa, naamini katika kiboko....ila isiwe too much maana kwenye punishment sio viboko tu
Wewe mwenyewe wajua... timiza wajibu wako bhanaaAsubuhi yote hii jamaniii...kumisiana vepee
Wanasema mtoto hujifunza pale anapotaka ila hii inafanya kazi ulaya huko...huku kwetu ukiacha mtoto bila fimbo lazima akusumbueHakika wewe ni mama bora...
Usiwazee....hivi tupo hapa bar bado ipo?Wewe mwenyewe wajua... timiza wajibu wako bhanaa
Hawa wenzako wanajifanya kuiga yanayofanyika kwenye tamthilia... We waache tu, shauri zao.Wanasema mtoto hujifunza pale anapotaka ila hii inafanya kazi ulaya huko...huku kwetu ukiacha mtoto bila fimbo lazima akusumbue
Nikimuachia Mungu, usinilaumu.Usiwazee....hivi tupo hapa bar bado ipo?
Usimuachie plz...mimi ni mtu wa kutimiza ahadiiNikimuachia Mungu, usinilaumu.
Haya basi fanya haraka kabla daraja la Tegeta halijavunjika...Usimuachie plz...mimi ni mtu wa kutimiza ahadii
Maisha ni uchaguzi....hata ukielimika ukashindwa kuchagua, matokeo lazima ukabiliane nayoHawa wenzako wanajifanya kuiga yanayofanyika kwenye tamthilia... We waache tu, shauri zao.
Majority walichapwa na wakafaulu ndio maana mwanzoni nika kwambia,hakuna educational theory inayofanya kazi kila sehemu.Mkuu kuna anaechapwa kwa kuonewa shuleni? Mmmmnh,viboko ni abuse,kama ulikulia kijijini ukachapwa na haikukuaffect then good for you, ila kuna watu Katika hilo kundi la waliochapwa, walifeli masomo na kuwa damaged for life.