Tukumbushane kidogo: Wanasiasa maarufu waliopata kubwagwa ubunge

Benedict Mtungirei a.k.a mbunge wa kyerwa.Huyu namkubali sana na ni product nzuri ya UDSM katika siasa za bongo.Yuko
wapi huyu pamoja na Paul James Ndobho?
 
jamani kama huna jipya ni bora kunyamaza kwa vile hata ujinga hufichwa kwa ukimya
 
Monika Mbega (Iringa mjini)
Mpesya ( Mbeya mjini)
Siraju kaboyonga (Tabora)
Fuya Kimbita (Hai)
Rita Mlaki (kawe)
 
1. Nalaila Kiula - Nzega - Alikuwa na Kesi as Minister of Works - Ufisadi
2. William Shija - Sengerema -- Baada ya Kuanguka Kapata kazi Secretary of Commonwealth Parliament
3. Dr. Kego Masha - Sengerema -- Akakimbilia US
4. Tabitha Siwale --- Liwale -- alishidwa akalia kama mtoto
5. Arcado Ntagazwa -- Kigoma Vijijini -- Tried to Come back through CHADEMA akashindwa na mmoja wa NCCR Mageuzi
6. Daniel Machemba - Mwanza Mjini - alishindwa na Paul Bomani
7. Abdulrahaman Kinana - Arusha Mjini -- Hakugombea kujihusisha na NEC
8. Amran Mayagila
 
Leo napenda tukumbushane wale wanasiasa na viongozi maarufu waliopata kubwagwa kwekye kinyang'anyiro cha ubunge majimboni,haijalisha kama walikuja kurudi mjengoniau ndio walishasaulika kabisa.Hii ni kwa sababu kule Dodoma sasa kunawaka moto na wengine hawatakuja kurejea kwenye chaguzi izijazo na tutawa-miss.

Basili Mramba-Rombo (2010)
Samwel Sitta-Urambo (1995)
Rita Mlaki
Charles Keenja
Lucas Seleli
Joel Bendera
.....................

Huyo si alistaafu? Naongezea Thiomas Ngawaiya, Ngotolainyo,(Moshi V), Makundi na James Mbatia wa kule kwetu vunjo, Daniel Yona, (nadhani same) Cleopa Msuya wa mwanga (alistaafu), Frank Magoba (kigamboni)
 
Dr ibrahim Msabaha. Yeye alikataliwa na wananch wa kbaha vijijin na badala yake akachukua hamoud jumaa(mtoto wa abuu jumaa wa ilala). Wakazi wa hlo jmbo ni kama wamekula hasara tu kwa sababu huyo standard seven (hamoud)ye huwa akienda jimboni mwake anaishia kwenda kutunza kwenye vigodoro(ngoma).
 
Rostam Aziz a.k.a Rostitamu! ya Igunga. Huyu jamaa mafia kweli kweeeli.Siku ya kutangaza kujiuzulu a.k.a Kujivua gamba alikodisha hadi watu wa kuzimia......tehe tehe tehe! Mswahili anazimia eti mhindi kajiuzulu ubunge.... Kuendekeza njaa kubaya!
 
1. Nalaila Kiula - Nzega - Alikuwa na Kesi as Minister of Works - Ufisadi
2. William Shija - Sengerema -- Baada ya Kuanguka Kapata kazi Secretary of Commonwealth Parliament
3. Dr. Kego Masha - Sengerema -- Akakimbilia US
4. Tabitha Siwale --- Liwale -- alishidwa akalia kama mtoto
5. Arcado Ntagazwa -- Kigoma Vijijini -- Tried to Come back through CHADEMA akashindwa na mmoja wa NCCR Mageuzi
6. Daniel Machemba - Mwanza Mjini - alishindwa na Paul Bomani
7. Abdulrahaman Kinana - Arusha Mjini -- Hakugombea kujihusisha na NEC
8. Amran Mayagila

Huyu alikuwa wa Iramba Magh/Mash?-Naye alizichota kidogo.
 
Back
Top Bottom