Tukumbushane kidogo: Wanasiasa maarufu waliopata kubwagwa ubunge

hao akina semindu pawa ndio wanaoitwa wazubaifu na muheshimiwa fisadi Rostam Azizi, yeye alikuwa haongeiongei lakini anamwaga hela za misaada jimboni
 
  • tuntemeke sanga - Makete ( sasa ni marehemu)
  • vipi kihiyo hakuingia mjengoni hapa nimesahau kidogo
 
  • tuntemeke sanga - Makete ( sasa ni marehemu)
  • vipi kihiyo hakuingia mjengoni hapa nimesahau kidogo
Kihiyo aliingia lakini akina Masumbuko Lamwai (akiwa mpiganaji na NCCR) walimng'oa mahakamani kwa kudanganya elimu.
 
Karamagi - Bukoba Vijijini
Lucy Brasio Msafiri - Muleba Kaskazini huyu alikuwa chakula ya wazee bungeni.
Deodutus Kamala- Nkenge (Wananchi walimchoka ila sasa wanajutia maamuzi yao, kwa kupeleke chakula ya wazee nyingine)
Eustace Katagira - Kyerwa (1995)
Benedict Mtungirilei - Kyerwa (2000)
Msiwasahau na wengine wa G55.
 
Njelu Kasaka alikuwa mwiba,lakini akaja kutulizwa,sijui yuko wapi?
 
Azim Premji
Ngotolainyo
Arcado Ntagazwa
Batilda Buriani
Felix Mrema
Prof Simon Mbilinyi.
 
<span style="font-family: comic sans ms"><font size="3">Rostam Aziz a.k.a Rostitamu! ya Igunga. Huyu jamaa mafia kweli kweeeli.Siku ya kutangaza kujiuzulu a.k.a Kujivua gamba alikodisha hadi watu wa kuzimia......tehe tehe tehe! </font></span>
khaaa! Watu mna visa. Eti alikodisha watu. Kibaya kwako kwa mwenzio kinaweza kuwa kizuri.
 
khaaa! Watu mna visa. Eti alikodisha watu. Kibaya kwako kwa mwenzio kinaweza kuwa kizuri.
Hoja yake siyo mbaya kusema kweli,dalili zipo kuwa watu walikuwa wanazililia nafsi zao.Au leo umekuja kivingine Husninyo?
 
Jamani hivi mnawezaje kumsahau MH monica mbega kichwa cha jakaya ,aliempa na ukuu wa mkoa Kilimanjaro, lakini wanyaru wakampiga chini na kumpa mh mchungaji makini msigwa ,unaambiwa alikimbizwa kwa hospital.
 
Julie Manning... Alikaa Wizara ya Sheria - Ikabidi wampatie Nyumba maeneo yale pale karibu na Wizarani - akawa anatembea kwenda Ofisini au Kwenda GYMKHANA....

Ni Graduation ya Pili Pale Chuo cha Dar alipata Shahada ya Sheria
 
Sigella Mswima... sijui wilaya yake ya Ubunge ... Alisha kuwa Naibu Waziri wa Maji

Lily Monze 1975-1977 ... sijui Wilaya... Alisha kuwa Naibu Waziri wa Fedha

Masauni Y. Masauni ... well he was American akabadilisha dini na uraia -- kama sikosei aligombea ubunge huko Zanzibar?

Tabitha Siwale .... Mbunge wa Liwale... Aliishika Wizara ya Elimu... one day wakamtolea Shilingi alilia kama mtoto... LOL - Wakairudisha
 
Sigella Mswima... sijui wilaya yake ya Ubunge ... Alisha kuwa Naibu Waziri wa Maji

Lily Monze 1975-1977 ... sijui Wilaya... Alisha kuwa Naibu Waziri wa Fedha

Masauni Y. Masauni ... well he was American akabadilisha dini na uraia -- kama sikosei aligombea ubunge huko Zanzibar?

Tabitha Siwale .... Mbunge wa Liwale... Aliishika Wizara ya Elimu... one day wakamtolea Shilingi alilia kama mtoto... LOL - Wakairudisha[/QUOTE
Nasikia na prezidaa wa SMZ aliwahi kumwagwa kule Pemba na CUF,sijui kama ni kweli.
 
Huyu bwana alimsurubu sana Mbowe miaka ile. Ajabu, alipopigwa chini kura za maoni 2005 kwenye chama lao la magamba akataka kuchepukia CDM. Sijui baadaye aliishia wapi!

Jimbo lake ndo analiongoza kijana SILINDE DAVID (CDM), hana mpango tena mzee Simpasa kabaki mtazamajim tu, choka mbayaa, chezea politiki ya bongo wewe!!
 
Back
Top Bottom