Tukumbushane kidogo: Wanasiasa maarufu waliopata kubwagwa ubunge

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,043
10,692
Leo napenda tukumbushane wale wanasiasa na viongozi maarufu waliopata kubwagwa kwekye kinyang'anyiro cha ubunge majimboni,haijalisha kama walikuja kurudi mjengoniau ndio walishasaulika kabisa.Hii ni kwa sababu kule Dodoma sasa kunawaka moto na wengine hawatakuja kurejea kwenye chaguzi izijazo na tutawa-miss.

Basili Mramba-Rombo (2010)
Samwel Sitta-Urambo (1995)
Rita Mlaki
Charles Keenja
Lucas Seleli
Joel Bendera
.....................
 
Leo napenda tukumbushane wale wanasiasa na viongozi maarufu waliopata kubwagwa kwekye kinyang'anyiro cha ubunge majimboni,haijalisha kama walikuja kurudi mjengoniau ndio walishasaulika kabisa.Hii ni kwa sababu kule Dodoma sasa kunawaka moto na wengine hawatakuja kurejea kwenye chaguzi izijazo na tutawa-miss.

Basili Mramba-Rombo (2010)
Samwel Sitta-Urambo (1995)
Rita Mlaki
Charles Keenja
Lucas Seleli
Joel Bendera
.....................

Pawa Semindu Pawa (Morogoro Kusini Mashariki).....sijui yuko wapi huyu kwasasa!
 
anthony dialo, wilfred lwakatare, marando, lamwai na mutamega mugahywa. waliisha kata tamaa kabisa kurudi bungeni.
 
Kitwana Kondo (kigamboni 1995)
Matheo karesi (Rufiji)
Cisco Mtiro (Temeke)
 
Malecela-2010
Warioba-1995
Makweta-2010
Mungai-2010
Msekwa-2005
Mongella-2010
 
mnamkumbuka m/kiti kamati maadili-eliakim simpasa.
mzeru nibuka,
Prof pius mbawala
Venance ngula
Uma kilimba
 
Kitwana Kondo (kigamboni 1995)
Matheo karesi (Rufiji)
Cisco Mtiro (Temeke)

Mateo Qares aliangushwa kwao Babati na wala sio Rufiji;alichokwa kwao kwa kauli zake za kukera kwa wapiga kura hasa walipomuomba akiwa Mbunge 1990 awatafutie soko la vitunguu na yy kuwajibu kuwa "wakikosa soko waunge vitunguu vyote kwenye mboga zao";Aliyeangushwa Rufiji ni Waziri Mbonde baada ya kuingia Prof Mtulia;nipo tayari kukosolewa anyway!LKN swahiba wake mkuu Mkapa akamkumbuka kwa kumpa RC-Mbeya;kwa sasa sijui yupo wapi jamaa huyu machachari
 
<font size="3">Huyu jamaa (Pawa Semindu Pawa) alikuwa very talkactive! ndani, na nje ya Bunge.</font>[/QUOTjhhE]<br />
<br />kweli kabisa jamaa ni comedian kwa kipaji hatumii msuli kuchekesha ukiwa nae usipocheka we una matatizo..
 
Mateo Qares aliangushwa kwao Babati na wala sio Rufiji;alichokwa kwao kwa kauli zake za kukera kwa wapiga kura hasa walipomuomba akiwa Mbunge 1990 awatafutie soko la vitunguu na yy kuwajibu kuwa &quot;wakikosa soko waunge vitunguu vyote kwenye mboga zao&quot;;Aliyeangushwa Rufiji ni Waziri Mbonde baada ya kuingia Prof Mtulia;nipo tayari kukosolewa anyway!LKN swahiba wake mkuu Mkapa akamkumbuka kwa kumpa RC-Mbeya;kwa sasa sijui yupo wapi jamaa huyu machachari
<br />
<br />Swahiba wake ni sumaye(w/mkuu)wanatoka mkoa mmoja ndie alimpendekeza kwa mkapa..
 
Back
Top Bottom