Tukumbushane kidogo: Wanasiasa maarufu waliopata kubwagwa ubunge

Pius Msekwa - Ukerewe na dada yake Getrude Mongela huko huko.
Dr. Ibrahim Msabaha - Kibaha
Venance Mwamoto - Kilolo
Ramadhani Maneno - Chalinze
Nsanzugwanko - Kasulu (Huyu hata akifika jimboni anapandisha vioo vya gari lake ili watu wasimsemeshe)
Arcado Ntagazwa - Kibondo
Charles Keenja - Ubungo

sasa umenuna nini kwani si alimpiga mtu kweli

kama umeona tunakosea turekebishe we mjuaji

si kusema maneno mbofumbiofu hapa

wewe kwakuwa mkubwa ungetuelimisha.

hili jukwaa lina watu wa kila aina wenye

upeo wa kila aina

kwanza ili tukuelewe hebu tupatie source

si ututukane bur hapa

tutaaminije kama unachosema ndo sahihi

afu sisi tumesema upupu.

<Mwandishi alimwita Wassira swahiba,Wassira alitafsiri swahiba kuwa ni shoga alichanganya maana,hapo ndio akapata hasira na kumshambulia mwandishi.

Vipi walioangushwa na kesi za uchaguzi Mahakama Kuu? Naikumbuka ya Jaji Warioba na Wassira ambayo imewafanya maadui hadi kesho.

nijuze hyo ya warioba na wasira n bye ze way cpati picha mwandishi aliyepata kofi la tyson kumbe alikuwa ashaamia NCCR MAGEUZI bac ye ni kigeugeu
spend m2 anayeshift chama 2 chama inaonesha hujiamini
Msisahau Masha(nyamagana)alivyomwagwa

Pius Msekwa - Ukerewe na dada yake Getrude Mongela huko huko.
Dr. Ibrahim Msabaha - Kibaha
Venance Mwamoto - Kilolo
Ramadhani Maneno - Chalinze
Nsanzugwanko - Kasulu (Huyu hata akifika jimboni anapandisha vioo vya gari lake ili watu wasimsemeshe)
Arcado Ntagazwa - Kibondo
Charles Keenja - Ubungo
Huyo kwenye red alikuwa mwanandinga maarufu pia,sijui wapi huyu bwana.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom