Pippo(fillipo inzaghi) was born in an offside position -sir alex ferguson
"Tumeshaongea na Mwenyekiti wetu Manji na kimsingi tumekubaliana,Yanga itafunga usajili kwa habari ya kushtukiza sana,kuna mchezaji tutamsajili watu hawataamini,wapo watakaozimia na wapo watakaoingia kwenye siku zao kabla ya wakati" Mzee Akilimali akinukuliwa na gazeti 1 la michezo linalotoka katikati ya wiki.
"kuna wakati najisahau uwanjani na kusimama kumuangalia (jina limehifadhiwa) akicheza" - maneno haya yalitamkwa na mchezaji mmoja wa kilabu maarufu sana duniani kuhusu mchezaji mwenzake
"nilikuwa nikiimba dua, dua said na dua anapachika bao hapa" - mtangazaji wa mpira enzi hizi
"mpira ni kama baisikeli kama unajua unajua tu" - hamis tobiath gaga 'gagarino'
"players come, players go - it is time for ronaldinho to move on" - coach companero