Tukumbushane Kashfa mbalimbali za Manji/ Quality Group

Tukumbushane Kashfa mbalimbali za Manji/ Quality Group

1. Kashfa ya maghala.

Manji/Quality Group borrows from NSSF Shs 9.0 billion to build: Ubungo Godowns.

Manji/Quality Group sells Ubungo Godowns to National Social Security Fund (NSSF) for Shs 47.5 billion within 2 months of negotiations.

Manji/Quality Group sells Quality Plaza to Public Service Pensions Fund (PSPF) for shs 36.0 billion.

TOTAL SALE PROCEEDS - Shs 83.5 billion

THE UNANSWERED QUESTIONS
What facilitated the approval of the loan of shillings 9.0 billion to NSSF within such a short period of time?

Has the loan of Shs 9.0 billion from NSSF been repaid by Quality Group?

How was it possible to conclude negotiations and the purchase of the godowns by NSSF within such a short period of two months and two weeks?

Was capital gains tax paid on the sale of Ubungo Godowns and Quality Plaza?

The first valuation of the Ubungo godowns is said to have been done by the University College of Lands and Architectural Studies (UCLAS). Who engaged UCLAS, and is there a contract for this engagement?

Has ownership of the buildings been transferred to NSSF and PSPF?

Quality Group occupies space in the Ubungo Godowns and Quality Plaza. What percentage of the built up area is it occupying in each building respectively?

What is the rent payable by Quality Group for occupation in the Ubungo Godowns and Quality Plaza respectively and is the rent paid to-date?

How much rent has been received by NSSF and PSPF since the acquisition of the properties?

What is the cost of running and maintaining the Ubungo Godowns and Quality Plaza, including management/consultancy fees?

Are the Ubungo Godowns and Quality Plaza insured? If in the affirmative, who is the insurer and at what value respectively?

Where are the proceeds of shillings 83.5 billion from the sale of Ubungo Godowns and Quality Plaza? Are they in the country of have they been repatriated?



2. Manji vs Kagoda
loan-agreement.jpg
Wamfunge tu,ni fisadi papa huyu.He has colluded with state companies and many government officials to defraud the companies and the GoT.

Kipo kiwanda cha kukoboa mpunga na packing ya mchele for export, kizuri sana Wami Dakawa Morogoro,a state of the art factory, ambacho naamini kakinunua kwa bei ya kutupo,kirejeshwe serikalini.
 
Wengine hamjitambui mzabuni alikuwa nani? He alikwepa kodi acheni ubaguzi haya mambo yapo polisi waacheni wenyewe mnatoa hukumu ya nn? Mnajua ashtakiwaje? Msituletee chuki tz kama hatakuwa na kosa ataachiwa akiwana kosa atafungwa
 
Hakuna mwenye chuki Nkulikwa. Hivi Manji na ufisadi wake unaujua au tunatetea tu hata ukweli. Acheni habari za cdm kuzunguka nchi nzima wakisema Lowassa ni fisadi kisha akapewa nafasi ya kugombea urais kupitia hiyohiyo cdm. Mlisema sana juu ya upigaji, utapeli, ubadhilifu na ufisadi wa Manji. Anachukuliwa hatua then mnaanza oooo ni chuki. Alicho andika Bujibuji ni 1 ya 1000 uchafu alio fanya tena kupitia mgongo wa mlindwa katiba.
 
Wengine hamjitambui mzabuni alikuwa nani? He alikwepa kodi acheni ubaguzi haya mambo yapo polisi waacheni wenyewe mnatoa hukumu ya nn? Mnajua ashtakiwaje? Msituletee chuki tz kama hatakuwa na kosa ataachiwa akiwana kosa atafungwa
bado ana kesi nyingi sana za kujibu...hasafishiki
 
Nadhani tumeanza kuwa taifa la Chuki kabisa hatutaishia kwa huyo watakuwa wengi Maana roho mbaya hutafuta ubaya!
Rushwa inazaa nini ndugu? Ipo siku haki na ukweli vitajitenga na uongo. Kuibia watu maskini sio kitu sahihi....ni laana
 
Acha akomeshwe kabisa nasikia anasambaza hadi uniform Za jeshi na mihuri na nyaraka nyeti
Pumbavu zake Huyu baniani, Huyu alitakaga kubinafsisha coco beach
Huwezi kuwa na maisha mazuri kwa kumchukia tajiri
 
Wana Yanga bado inatuuma, why Manji na sio Kaduguda?
 
Mbwa nyie badala ya maslahi ua nch nyie mnawaza michezo?
 
Hao NSSF na PSPF wamenunua shares kwny majengo na sio majengo. Niliwahi kufanya auditing ya hizo taasisi mbili hawana hata title deeds, kopi tulizoonyeshwa ziko kwenye majina ya familia ya Manji. One day watajikuta hawana kitu.
 
Mtu ana hadi mihuri ya Jeshi unamuonea huruma?

Usalama wa nchi uko pabaya sana...bora akae zake keko tuu
 
Siasa za chuki visasi na kukomeshana hazitaiacha nchi yetu ikiwa salama
 
Watz tuna ugonjwa wa kusikia au kusoma kile kinachotupendeza tuu, na tumezoea kwamba maelekezo yanayotolewa na viongozi yanaishia jukwaani lkn hii no zama mpya, Rais alitoa maelelezo, mawaziri na wakuu wa majeshi wakasisitizia lkn bado watu wakawa na jeuri.
Siasa za chuki visasi na kukomeshana hazitaiacha nchi yetu ikiwa salama
 
Back
Top Bottom