Tukumbushane Kashfa mbalimbali za Manji/ Quality Group

Tukumbushane Kashfa mbalimbali za Manji/ Quality Group

Alikuwaga na kampuni ya kuagiza magari miaka ya 1990s akachukua advance payment za watu na mashirika halafu akafilisi kampuni, jamaa tapeli saana tuu
 
Magufuli acha adeal nae, yeye ndie anamjua Manji zaidi yetu. Kuna uwezekano mkubwa Manji alitumiwa na mafisadi kupora pesa za nchi
 
Walio shirikiana na Manji nao wapelekwe jela
 
Na Ile dill ya kuiuzia Dawasco pikipiki feki honda cg kumbe full mchina wakati ule original jpn tshs 4m yeye akanunua mchina laki 8 jamaaa hafai
 
You can buy everything but you can not buy President Magufuli
 
Mmmm kumbe ana mkono ktk fedha za EPA ohoo Kagoda ambaye ashikiki. Huruma zote anazopewa Manji ni watu kutofahamu
Ni ngekuwa yeye ningeipigia magoti serkali na kuwapa mali zao nilizo waibia na pesa zao zote wanipe uhuru wangu hapo hachomoki.
Tuwabane hivyo.
 
Back
Top Bottom