samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,478
- 24,262
Wakati mwingine me nashangaa sana hizi hadithi zetu kwa kweli,
Manji ni Diwani kupitia CCM, nani aliidhinisha mhalifu kuwa diwani??
Manji hakuwahi kuwa kiongozi ndani ya serikali, aliwezaje kufanya Biashara za kitapeli na taasisi za serikali, tunapodeal na Manji tukumbuke pia kudeal na ndugu zetu waliompa manji access ya kupenetrate kwenye mifumo yetu na kupiga hizo deal.
Waliohusika kutakafisha hizo fedha as Manji wako wapi? Yanga football club inahusika kutakatisha Fedha za Manji, TFF kipindi hicho ilihusika kutakatisha fedha za MANJI...
Walioshirikiana na Manji kupiga dili na Manji pale NSSF na KAGODA wako wapi???
Vipi Rostam Azizi tunamuachaje naye kama Kweli tumedhamiria, waliomsaidia Ruge kutakatisha hela tunawaachaje - kuanzia wachungaji na viongozi wa serikali?? Kama tumedhamiria lazima tujue kwanza wezi wanaweza kuiba kwa sababu ya mfumo wa hovyo tulionao kuanzia CCM mpaka kwenye serikali..