Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,456
- 1,410
watu kama manji ni wakufilisiwa safi sana jpm piga kazi wapinzani hawana jipya
Jibu unalo mbna???Acha unafki chiefNi swali zuri sana na hao ndio vidudu mtu.
Ni kweli tusipokuwa makini. Kuna watu wanadhani umaskini wao umesababishwa na wewe.Nadhani tumeanza kuwa taifa la Chuki kabisa hatutaishia kwa huyo watakuwa wengi Maana roho mbaya hutafuta ubaya!
Chadema ndyo walikuwa wanampa tenda hzo zote syooHahaha Wale wazee wa Serikali dhaif kimyaaa!
Ficha upumbavu wakoChadema ndyo walikuwa wanampa tenda hzo zote syoo
Ova
Maccm yalifurahi kweli kweli!! Bado yakampa Na zawadi ya udiwani mbele kwa mbele!!Na watu walichekelea kweli....
Jibu Swali ?Ficha upumbavu wako
aliye taja Hilo jina Chagadema nani
Si unajua kilichompata mwenyekiti wa ccm Dar?Maccm yalifurahi kweli kweli!! Bado yakampa Na zawadi ya udiwani mbele kwa mbele!!
Nadhani tumeanza kuwa taifa la Chuki kabisa hatutaishia kwa huyo watakuwa wengi Maana roho mbaya hutafuta ubaya!
Ulivyonijibu mimi umejibu vizuri zaidi kuliko unavyo comment katika mada. Ninachokisema ni kwamba si kila kukicha unamkumbusha Magufuli kuwa CCM ndiyo waliotufikisha hapo tulipo, Ndiyo kila mtanzania anajua hilo kwanini uendelee kuyasema yale ambayo wote tunayajua baada ya kuzungumza nini kinafanyika kwasasa.
Umesema huna haja ya kumsifu maana ni kazi yake ndiyo nakubaliana nawe, lakini kwa mantiki hiyo hiyo huwezi kuendelea kumlaum kwa mambo yaliyofanywa na CHAMA chake kwasababu tu yeye ni mwana CCM.
Jeremy Corbyn haamini kabisa nchi kumiliki nuclear deterrent lakini kwasasa yeye ni kiongozi wa Labour anaweza kuwa waziri mkuu aliulizwa wakati wa kampueni kua ana msimamo gani kwasasa kama amebadili, jibu lake lilikua ni moja mawazo ya mtu mmoja hayawezi kwenda kinyume na mawazo ya chama, hivyo kura imepigwa na chama kinaunga mkono nuclear deterrent hivyo anasupport maoni ya wengi. Ukiangalia majibu ya Jeremy utajua kuwa kuna wakati hata kama unapingana na mambo yanayopitishwa lakini unasema wengi wape. Kuna mawili ya kuyafanya, Jiuzuru halafu upinge ukiwa kama raia wa kawaida, ama ubaki nao kama mjinga huku ukitegemea kama kuna siku utapata nafasi na wewe ukaweza kubadilisha ukiwa ndani.
Unaweza kusema kwanini hakujiuzulu, unaweza ukawa sawa lakini kama angejiuzulu angeishia wapi? Kuna wangapi wamefanya hivyo katika siasa za Tanzania na Africa wambao wamefaulu? Alichokitumia Magufuli ni ungana nao jifanye ni mmoja wao nafasi ikipatikana waumbue na ndivyo anavyofanya sasa.
Wewe uhijui CCM, na mimi naijua kama chama makini katika kuboresha mbinu zake kukabiliana na changamoto za kuwaletea maendeleo watanzania. Je. kama huo udiwani ilikuwa hadaa ya kumfanya asitoroke!? Jiongeze mkuu.Maccm yalifurahi kweli kweli!! Bado yakampa Na zawadi ya udiwani mbele kwa mbele!!
Halafu halitaki kukaa rumande eti likae hospitali, tena wakati tu anapohitajiwa polisi?! Lijizi kabisa hili...nA MISHABIKI YAKE YATAKA TUMUONEE HURUMA! KWELI MAZUZU HAYAISHI TZ! Malipo hapa hapa duniani AKA TZ...1. Kashfa ya maghala.
keshasema atawalinda. wasio na ulinzi tukutane keko.Ni swali zuri sana na hao ndio vidudu mtu.
HakunaJibu Swali ?
Ova