lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,425
- 1,691
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema, fadhila nilizolipa baada yakumaliza university nilijengea kaburi lake, nikavuta umeme home n.k Mungu ni mwema bado napambana
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema, fadhila nilizolipa baada yakumaliza university nilijengea kaburi lake, nikavuta umeme home n.k Mungu ni mwema bado napambana
kibatari form one to form four na rafiki zangu lakini tulitoboa Mungu mkubwaWakuu poleni na majukum ..Tukumbushane haya mabo ya mwanga usiku,vipi wee unakumbuka changamoto gani au uzuri gani wa hv.View attachment 1452844View attachment 1452845View attachment 1452847View attachment 1452848
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kujikuta Umekula KIMASIARA😅
Mkuu unaakili za kuazima..🤣
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji119]Hiyo taa ya chemli nikiangaliaga hapo kwenye unapotokezea utambi dah..huwa nawaza sana vitu vya kiutuuzima
Pole mkuuUmenikumbusha mbali sana, taa ya chemli nimesoma nayo shule ya msingi mpaka nimeingia University. Nakumbuka nikiwa secondary mambo ya msuli tembo kusoma mpaka usiku wa manane, siku moja mama akaniambia taa ya chemli ikipata moto ukigusa na maji inapasuka basi mm usiku hivi kwenye saa 6 nikiwa nasoma nikaamua kufanya jaribio. nikaweka kidole mdomoni nikagusa taa nikasika paaah taa imepasuka alafu ndo hiyo hiyo inategemewa aisee. Wachaaa kabisa sad enough mama aliyenipigania nikapata elimu hajafahidi hata matunda ya elimu ya mwanae kifo hichi jamani.....!