hapo umenena, hizo mbuz labda zipo mpaka leoSi kama wakoloni tu.. ww unadhani wakoloni waliondoka siku moja
Sikuhizi yamepungua juz juzi tu hapa kamanda ciro alisema atapiga watu kichapo cha mbwa koko watu wakatuliaKama umesoma kwenye vyuo vyetu na ulikuwa unapata mkopo wa bodi, utajua mambo yakiwa magumu; maandamano yalikuwa yanafanyika sana tu.
Sio kwamba Watanzania sio watu wa maandamano; bado hawajafikia mwisho wa uvumilivu.
Makamanda, tukubali ukweli kuwa pamoja na wito wa kuandamana kutolewa mara nyingi na viongozi wa CHADEMA, hakuna iliyofanikiwa. Tunajilisha upepo kufikiri kuwa tarehe 5 Agosti itakuwa tofauti.
Ni muhimu sasa tuwaambie viongozi wa CHADEMA waachane na mkakati huu ambao siku zote unashindwa. Kwanza viongozi wenywe hawaoneshi mfano.
Tumeanza kusikia Mwenyekiti wa BAVICHA akitangaza kuwa "Watakaoandamana watapigwa na IGP" ina maana yeye tayari ameshajitoa. Kwa mazingira haya tusitegemee kuona yeyote anaandamana. Hakuna miujiza.
Tuendelea kutumia key boards zetu.