Tukubali ,tusikubali, Bunge lijalo 2020 litakuwa na Wabunge wapya wengi sana,si wa CCM,si wa Upinzani

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wakuu, nafikiri tumeashaona aina ya viongozi ambao Mh Rais anawataka.Hataki viongozi vilaza vilaza, type za wale "Standard Seven".

Kwa upande wa CCM, kwenye vikao vya Chama wengi watakatwa sana. Maana Mwenyekiti wa CCM Taifa ni Dk JPM, Katibu wa Itakadi na Uenezi nae mnamjua. Wabunge wengi wa CCM hasa wale vilaza, wanaopenda kutumia janja janja na wenye kashfa nyingi, watakatwa sana.Wajipange kisaikolojia.

Wale wa Upinzani, ni wachache sana watarudi Bungeni. Serikali itafanya juhudi zote kurudisha majimbo yao CCM,Serikali haitakubali kuendelea kudeal na watu wanaoikosoa na kupinga speed ya Mh Rais, wanaipotezea muda Serikali.

Tukubali, tusikubali uchaguzi ujao utatema Wabunge wengi sana
 
Kaziipo maana kama wakisema rushwa haivumiliki nadhani hata t-shirts kanga na wali maharage watu watavikosa sana

Hivyo ndio vinawapitishaga wajumbe katika hatua za awali ikiwemo kuwanunulia wakimbe mamluki kadi
 
Back
Top Bottom