Tukubali deni la dowans lilipwe kuepuka kutengwa

Status
Not open for further replies.
Wanaharakati wa haki za kibinadamu wa Dar es Salaam pengine kwa kusukumwa na uzalendo , ushabiki wa kisiasa au vyote wanaandaa maandamano ya kupinga kulipwa kwa tozo ya zaidi ya Ths. Bilioni 110 kwa Kampuni ya Dowans. Wapo wanasiasa wa chama tawala na wa vyama vya upinzani ambao wanaunga mkono harakati za taasisi hiyo kupinga malipo ya tozo hiyo.

Wakati tunaangalia hayo tukubali kwamba nchi hii inaongozwa na utawala wa sheria na bila kuangalia kama DOWANS ni ya nani tukubali kwamba Mahakama ya Kimataifa ya Biashara ICC ndiyo iliyotoza tozo hiyo kwa Kampuni hiyo.
Watanzania wengi ambao wanataka tozo hiyo isilipwe hawazingatii kwamba kama ICC ikiombwa na DOWANS inaweza kukaza hukumu na kuitangaza Tanzania kwenye vyombo vingine vya Kimataifa, hatua ambayo inaweza kusababisha mali za Tanzania zikakamatwa mpaka pale tozo hiyo itakapolipwa.

Suala lingine la msingi la kuzingatia ni kwamba kadri tunavyoendelea kubishana na kuendelea kukataa kulipa deni ndivyo riba itakavyozidi kukua na deni kuongezeka. Deni halisi lilikuwa bilioni 94 na sasa ni zaidi ya bilioni 110.

Tunachotakiwa kufanya ni kile ambacho serikali inafanya sasa cha kutafuta njia rahisi ya kukaa na Dowans na kupata ufumbuzi unaoweza kuipa nchi ahueni. Maandamano na kelele za majukwaani au kwenye vyombo vya habari hazina tija kwa sasa.

Naomba kutoa hoja.

Kimsingi tunataka kupigwa changa la macho hapa, ninachoamini mimi ni Mwizi na Mlinzi wanataka kugawana mali ya bosi!
 
KULIPA SAWA LAKINI HATUWEZI KULIPA DENI BILA YA KUMJUA ALIE KOPA KAMA NI DADA AU KAKA
UKRAIN WALIMPELEKA JERA WAZIRI WAO MKUU KWA MAMBO KAMA HAYO
250px-YuliaTymoshenko.jpg
WAZIRI MKUU JELA MIAKA SABA


Ni Julia[FONT=Verdana, Geneva, Arial, Helvetica, sans-serif] Tymosjenko pande za Ukrain utata uliompeleka jela ni mkataba mbovu wa mabilioni ya vijisent.Aliingia mkataba feki na mahakam kumuona ana hatia na awezi kuwepo nje akipunga hewa bukheri wa burdani [/FONT]

[FONT=Verdana, Geneva, Arial, Helvetica, sans-serif]lazima aende jela miaka saba na alipe hiyo hasa[/FONT]

[FONT=Verdana, Geneva, Arial, Helvetica, sans-serif]ra alioisabishia taifa,Japo alijitete kwa kusema aliifanyia mambo mengi Ukraini mazuri mazuri na kuuza sura nje ya Ukraini ikajulikana kitaifa na kimataifa.utetezi huo haukumfanya alietoa hukumu kumuonea huruma hata punje Pia kisura ni mzuri kaumbika [/FONT]
[FONT=Verdana, Geneva, Arial, Helvetica, sans-serif]mtanash[/FONT]
[FONT=Verdana, Geneva, Arial, Helvetica, sans-serif]ati anajua kuongea na anakubarika lakini hayo madudu alioyafanya yote yamewekwa kapuni na kuanagalia sheria imeandika vipi mmmh,Kisa kama iki kimekuwa kikitokea nchi mbalimbali hususani Afrika na wahusika kuishia mtaani na baadhi kujigamba wao hawakuhusika japo walikuwepo madarakani kwa hili litakuwa labda somo kidogo au kuwaongezea hasira zaidi za kuliangamiza taifa

[/FONT]
hht://mpituli.blogspot.com

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom