Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,580
- 78,915
Preta, nini tena hii kitu??
Nini kinaendelea hapa? Nilikuwa mmu mtu akaniPM mtu chake kakumbwa na mkasa,upi huo?
...bebii mie najua tuko wenyewe..lkn naona kuna watu wana vamia mpaka wetu...hakika sitakubali katika hili..nitaua mtu mie...mi sijui....aseme wakati niko nae tunakuwaga wangapi.....sikubali leo....
Wakati mnakutana mlikuwa wangapi?? Hao wa pembeni wanakuhusu nini hasa???
Haya na mimi wacha nimuulize Madame B tutakuwa wangapi ukimuondoa ruttashobolwa....
tulikuwa wawili tu..nashangaaa hao wengine wametokea wapi..wewe subiri mtu atajisaidia dagaa
Nini kinaendelea hapa? Nilikuwa mmu mtu akaniPM mtu chake kakumbwa na mkasa,upi huo?
unamfahamu Ruhazwe JR huyu alikua anatoka na Madame B ambaye alikua anatoka na Junior. Cux huyu naye alikua anatoka na Preta,ambaye aliwaikutoka na Bishanga,huyu naye ni mtu wa totozi kwakua analishugamami Kongosho ,anawakutokea out Catherine ambaye alikua na Judgement kabla ajambeba Beibe nastry,na hutoka kwa siri na BADILI TABIA ambaye anachukuliwa na Erickb52 huyu kumbuka alifumaniwa na Mwali wakati naye alikua anatoka na @St. Paka Mweus ambaye hutoka kisili na cacico CUTE FirstLady sweetlady .JE TUKO WANGAPI?