Lowasa ni janga la taifa pia ni janga sugu la wazawa mungu atuepushe na dhahama hii isitukute tutakuwa tumepata hasara kubwa sana kama taifa.
Magufuli ni Rais wa awamu ya tano tumwamini ataweza kukutumikia vema watanzania kunyoosha mafisadi.
Wakuu, Natumaini wote ni wazima wa afya.
Sasa twende kwenye mada. Ndugu yetu Lowassa ni mbunge kwa miaka 25 katika jimbo la Monduli. Na amekuwa akinadiwa kama mchapa kazi na mwenye maamuzi magumu.
Lakini ustawi wa maendeleo katika jimbo la Monduli ni tofauti na kile tunachoambiwa.
Lakini tafiti za UNDP, zinabainisha illiteracy rate au wanaojua kusoma ni wachache mno, ajira ni tatizo kubwa sana monduli... Vijana wengi wamekimbilia Arusha, Namanga, Nairobi, DSM na Zanzibar kama walinzi, wasusi, na wauza shanga.
Hii ni aibu kubwa iliyofunikwa na fedha isionekane, michango kwenye taflija mbali mbali nayo imekuwa kama kisafishio cha aibu hii. Jaribu kufananisha kazi anayo fanya Deo Firikunjombe Ludewa ndani ya muda mchache na kazi ya Lowassa monduli ndani ya miaka 25.
Kinachoonekana kwa jicho la pili ni maandalizi ya muda mrefu ya kutaka urais kwa gharama zozote ikiwa ni pamoja na kuupumbaza umma kwa techniques mbali mbali.
Namaliza kwa kusema, zile milioni Mia 200 anazotoa Lowassa kwenye taflija mbali mbali, zingeweza kutengeneza ajira za wamasai wanao suka dada zetu pale mwenge, Ubungo etc.
Tajiri siku zote hushughulika na matajiri wenzake.
Magufuli ni Rais wa awamu ya tano tumwamini ataweza kukutumikia vema watanzania kunyoosha mafisadi.
atakuwa rais kwawaliolishwa unga wa ndele ila kwa sisi tuliopata unga wa rutuba Magufuli ATOSHA.
Kwa mamlaka aliyonayo rais (kikatiba) bora rais safi kwenye chama kichafu maana ana uwezo wa kufurukuta na kuwanyoosha....nchi hii inataka rais aliye na political will baas...waliopita sidhani kama walishindwa...hawakuwa nayo...nina imani kubwa sana na Magufuli...hata ukimtizama usoni....unaona kabisa jamaa ni mkweli...
So huko jimboni kwa Magufuli ndo kuna ajira za kutosha sio ?
Tupo serious kuiondoa CCM madarakani...
Mpeleke mahakamani usiishie kulialia tu au huna uthubutu???Lowasa mimi huwa sitaki hata kumuona mwizi na fisadi asiyekuwa na aibu kwa kuibia watanzania halafu anajidai yeye ni mchapa kazi.
Inaonekana CCM imefanya mambo makubwa sana heko CCM. Mchague Magufuli ndugu. #HapaKaziTuTokea Lowassa awavutie maji wananchi wa jimbo la Monduli, na kuwajengea madarasa ya sekondary kila kata maccm yalimchukia to the maximum.
CCM ilimchukia mno Lowassa pia baada ya kuwasaidia vijana wa kimasai kupata ajira kwenye hifadhi za taifa kama Tanapa, Ngorongoro conservation, pia kwenye makampuni ya uchimbaji wa madini, TRA nk.
CCM hawakupenda kabisa jamii ya watu wa Monduli waone mlango wa darasa.
Wamasai ni wafugaji, huyu mleta mada ni kenge maana hakuna hata ukosefu wa ajira.
Na wewe: sio kumwajiabisha bali kumwajibisha.kwanza kabisa una kiswahli kibovu kama cha mwanafunzi wa darasa la 3, SIO TAFLIJA NI TAFRIJA. ...na ikiwezekana kumwajiabisha nacho...
Lowasa mimi huwa sitaki hata kumuona mwizi na fisadi asiyekuwa na aibu kwa kuibia watanzania halafu anajidai yeye ni mchapa kazi.
atakuwa rais kwawaliolishwa unga wa ndele ila kwa sisi tuliopata unga wa rutuba Magufuli ATOSHA.
Well said mkuu
Inaonekana CCM imefanya mambo makubwa sana heko CCM. Mchague Magufuli ndugu. #HapaKaziTu