Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,706
- 84,530
Haha d'accord où veux-tu en veniril y a un parent qui dit qu'il n'a pas de guide... J'ai écrit avec l'aide de Google Translate
Haha d'accord où veux-tu en veniril y a un parent qui dit qu'il n'a pas de guide... J'ai écrit avec l'aide de Google Translate
niache kujieleza sana au siyoKuna mtu atakwambia "Tafuta hela kijana".
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mambo mengine Umri nao (uzee)unatubana.Habari wakuu,
Ni ukweli usiopingika kipindi ukiwa mtoto, kuna mambo mengi ya utotoni ulitamani kuyafanya lakini wazazi/walezi walikukataza, kutokana na saababu mbalimbali kitu kilichopeleka kuhisi kukosa uhuru
Maisha yanabadilika unakuja kuwa mtu mzima ukiwa na uhuru wa kufanya kila kitu lakini Uchumi nao unakubana ,hii hali inafanya tutafakari mengi kuhusu maisha
Itafikia kipindi utakua na uhuru wa kiuchumi lakini kuna mambo mengine utatamani kufanya lakini mazingira hayatakuruhusu
Tujifunze kuwa na kiasi katika matamanio yetu
Tafakari!
Kwamba watoto waliosumbua wazazi wao kwa kula ada ndio leo hii ndio wazazi wanaongoza kwa kula ada za watoto wao..🤣Hii picha inaeleza mengi sana
Nilivyokuwa mtoto nilipenda sana kula chapati na mihogo...ule mgao wa home wa vitafunwa nilikuwa naona wananipunja kweli....
Ni kweli mkuuMambo mengine Umri nao (uzee)unatubana.