Tukiwa foleni Zanzibar

Tukiwa foleni Zanzibar

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Hivi hapo ikitokea punda kagonga gari ya mbele itakuweje?
 

Attachments

  • 1435241307974.jpg
    1435241307974.jpg
    79.9 KB · Views: 883
na ukikuta wameamua kumkimbiza na huo mkokoteni mpaka utaogopa..
 
NA VITUKO HIVYO UKO ZANZIBAR ATI UTAWASIKIA, WABARA NA MRUDI KWENYU!!!, WAKATI MJI WENYEWE KUNA PUNDA MPAKA CITY CENTRE??? SORRY MUNICIPAL CENTRE, Ahhh, AYA MATUKIO UKU BARA YANAPATIKANA UKOOOO MITAA YA NGOPYOLO...
 
hayo ni matumizi mazuri sana ya wanyamakazi, ila naona changamoto kubwa kwenye usafi wa barabara
 
Hahahhhahaha. Umenikumbusha. Kuna jamaa yetu aliona ng'ombe wa kizanzibar kabebeshwa matofali ya kufa mtu akamuonea huruma akasema hawa jamaa hawa,jui human rights kabisa. Tulicheka sana
 
Kashorobana mbona mikokoteni au nyinyi munaita guta imejaa mjini?

kwasababu ya kwao inaendeshwa na watu wanaona sawa...wakati watu wanaoiendesha walivyo careless afadhali ya punda!
 
Back
Top Bottom