sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
:horn:NI WAZO TU NATOA::horn:
Kwa nini kwa mtu anaeweza kutunga SMS nzuuri yenye maneno ya kueleweka na kuhamasisha watu juu ya jambo hili asituwekee hapa kisha sisi tuichague inayofaa then MODS wakaiweka pale mwanzo chini ya post ya MwanaHaki ili kwa kuanza tu sisi tuliona uwezo wa internet tui copy kwa simu zetu na kuanza kuwatumia wengine kwa njia ya SMS kuwahamasisha na wengine juu ya harakati hii...mpaka kufika hiyo tarehe itakuwa watu wengi zaidi wamepata taarifa...maana naona maneno yamekuwa mengi kuliko vitendo...:amen:

Last edited by a moderator: