dizzle kiraka
Hayo ni mawazo finyu. Hebu nenda VETA Dar es Salaam uombe kuonana na wanafunzi vijana kabisha waliovumbua mashine za kuzalisha umeme kwa njia ya pekee. Mmoja amevumbua mashine ya kuzalisha umeme kwa kubadilisha sauti na mwanga kuwa umeme. Mwenzake amevumbua mashine ya kuzalisha umeme kwa kuukuza, akitumia betri ya Volt 12 DC, ambapo amevumbua jenereta inayozalisha umeme wa 5KVA, unaotosha kutoa umeme kwa kaya TANO!
Huu ni uvumbuzi wa Kitanzania. Kwa hiyo bado unaamini kwamba Wazungu wana akili kuliko sisi?
Jifungue hiyo minyororo ya utumwa wa kifikra! WAAFRIKA TUNAWEZA TUKIAMUA! Sasa tumeamua!