MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 710
- Thread starter
- #41
Mkuu nimekusoma (kukuelewa) vizuri sana hizo mbinu ni takatifu kama shambulio basi hili naliita KISU CHASHINGO yani hapa adui humpi nafasi hata ya kuomba maji. Ila hizi plane kwa hapa bongo bado ni ngumu ukilinga nisha na mataifa mengine, nakinacho ipa ugumu plani hizi ni unafiki na kutokua wazalendo myoyoni mwetu. Tukubali tukatae plane namba moja ni nzuri kama tusinge kuwa wanafiki, nina uhakika pindi tutakapo kubaliana kuzima simu zetu wapo watakao tusaliti nakuendelea na matumizi yao kama kawa
Waache wafu wakazike wafu wao!
Watakapojikuta wakiwapigia wenzao walio kwenye mgomo, wataona haya na wao kuingia vitani.
Daima tusikubali wanafiki kutukatisha tamaa. Kuwa na imani ndugu yangu.
Hii ni vita takatifu. Imebarikiwa na Mungu wetu!