Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,978
- 285,476
Kwa hali ilipofikia lolote laweza kutokea, hata hivyo hatutashangaa, tushajua kila kitu.
Hilo linafahamikaLazima Nyamitako atamteka na kumpoteza mazima.
Imenichukua muda kukugundua nyoka mdogoMnapenda kujiamulia mambo
🤣🤣Imenichukua muda kukugundua nyoka mdogo
Utaacha lini hii michezo?
Usicheze na wanamtandaoNdio imefikia pabaya kiasi hiko?
Duuh hatarii sanaaUsicheze na wanamtandao
Hiyo ni ya mwisho aunt. Sitarudia tena.Utaacha lini hii michezo?
Hao ndio wenye NchiDuuh hatarii sanaa
VizuriHiyo ni ya mwisho aunt. Sitarudia tena.
Nimeshapata suluhisho la kudumu.
Huyo Sandaland ni nani? Picha yake tafadhali kwa tusiomfahamu, huku Nanjilinji hatujawahi kumsikia.Kwa hali ilipofikia lolote laweza kutokea, hata hivyo hatutashangaa, tushajua kila kitu.
Hapana mkuu.Vizuri
Ulifanikiwa kuonja ile nyama?
Nilidhani ulipata siku ya 8 8 😆Hapana mkuu.
Labda unipe kampani.
Ukikosa 10% halafu ni chukuwachakomapema, lazima udate!Kwa hali ilipofikia lolote laweza kutokea, hata hivyo hatutashangaa, tushajua kila kitu.