Ulikuwepo?Nilidhani ulipata siku ya 8 8 😆
Sema siku ilipoaa😁
Hiyo siku vipenyo walikuwa wengi sio poa.
Ulikuwepo?Nilidhani ulipata siku ya 8 8 😆
Sema siku ilipoaa😁
Nchi ganiChadema watamteka, halafu wasingizie serikali
Hapana nilikua ndaniUlikuwepo?
Hiyo siku vipenyo walikuwa wengi sio poa.
Huyo jamaa ni chiziNchi gani
Kazi anayo!!
kumbe una genge, liko wapi, niwe naja kukuungisha?Hapana nilikua ndani
Hata genge langu sikulifungua kabisa
Nyamatoro.....Lazima Nyamitako atamteka na kumpoteza mazima.
Hatari kabisaHao ndio wenye Nchi
Mambo ya ten pacentNdio imefikia pabaya kiasi hiko?
Ndio kazi yangu mbona 😅😅kumbe una genge, liko wapi, niwe naja kukuungisha?
Inasikitisha sana.Mambo ya ten pacent
Bonge moja la kazi.Ndio kazi yangu mbona 😅😅
Umeanza sasaBonge moja la kazi.
Taarifa zote local lazima uwe nazo kiganjani.
Hivi kwa sasa bei ya nazi ni sh ngapi?Umeanza sasa 😅😅
1000 kuendeleaHivi kwa sasa bei ya nazi ni sh ngapi?
Mbona huku Dom Makulu Oysterbay tunauziwa 1500. Jamaa wanatuibia!?1000 kuendelea
Wanaangalia ntu na ntu akili mtu wanguMbona huku Dom Makulu Oysterbay tunauziwa 1500. Jamaa wanatuibia!?
Ntawashitaki kwenye serikali ya mtaa.Wanaangalia ntu na ntu akili mtu wangu