REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,451
- 9,375
Mara nyingi hiki chombo cha habari cha clouds media wadau wamekuwa wakisema kipo kimaslahi binafsi lakini watu wamekuwa wakibisha.
Haya angalieni tatizo la tetemeko Bukoba jinsi clouds wanavyolipa uzito na upime tamasha lao la Fiesta. Fiesta imezidi kupewa uzito kuliko suala la tetemeko Bukoba kwakuwa tu Fiesta ina maslahi kwao muda huu.
Clouds wangekuwa hawana tamasha la Fiesta basi hili tatizo la Bukoba wangelipa uzito vibaya kama kupatwa kwa jua walivyolikomalia. Ona sasa aibu mataifa ya jirani Kenya, Uganda, Rwanda na baadhi ya nchi za mabara mengine wapo bize kuripoti hili suala zaidi hata ya kupatwa kwa jua.
Ila hiki chombo wala hakijalikomalia hili suala kama tunavyowajua.