Tukio lililonijenga kiimani na kuamini Mungu yupo

Glopu liliungua tu hilo na torch zile ilikua ni kawaida ukiweka battery mpya kuunguza glopu hasa likiwa na muda mrefu
Habarini,
Story, Nikiwa ninamiaka 15_20 nilikuwa ni mtu mbishi sana nisiekubali kitu kiurahisi ila udhaifu wangu ulikuwa uoga wazazi walinijua zaidi na izo.

Kuna wakati nilikuwa tunabishana na marafiki zangu kuhusu uwepo wa mungu mimi ndio nilikuwa mbishi namba 1 kuwaaminisha mungu hayupo mabishano yalidumu kama wiki,ikafikia wakati wakaanza kunichukia na kunitenga maana ubishi nimezidisha.

Siku moja usiku majira ya saa mbili usiku wa giza nilitumwa dukani na wazazi nilikataa kwenda kwasababu ya giza wakanipatia kurunzi(torch) ile ya bati tupu betry mbili kubwa national.

Nikiwa njiani natembea kuelekea dukani nikajikuta najiropokea "ngoja nimmulike mungu juu nimuangalie kama nitamuona kweli" nikaelekeza kurunzi(torch) juu nikanyoosha na mkono mpaka mwisho nikatazama kwakuwa betri zilikuwa mpya niliona miale kwambali kuashilia inamulika anga nikakodoa macho.

Ghafla kurunzi(torch) ilizima nikashusha chini nikaanza kuogopa giza alafu sijafika,nikasimama kama dk 3 nikijalibu kuipiga piga labda itawaka zilikuwa zina tabia iyo ukizipiga zinawakaga,toa betri weka tena wapi haiwaki nikaamua kuachana nayo uku uoga unizidi "nikijisemea au mungu ameamua kuizima ili nisimuone" nikaanza kumuogopa mungu nakuanza kuamini nilijikuta nakimbia mpaka dukani nikanunua nilichotumwa mbio tena mpaka nyumbani.

Kufika nyumbani nahema baba aliniuliza, pesa iliyorudi dukani ipo wapi? Uku nahema kwa uoga nikamjibu "nimesahau pale dukani sijachukua" akanifokea akaniambia naomba iyo kuruzni(torch) akaijalibisha haiwaki akafanya anavyojua lakini haikuwaka akazidi kuchukia alinichapa vizuri sana uku akiniambia nikitumwa nisikimbie mpaka nadondosha vitu na kualibika nikalia nikaenda kulala nilisusa kula.

Tangia usiku ule adi asubuhi yake mpaka leo ninahofu na mungu kila nikiwaza kumletea utani naogopa na nina imani yupo na invisible.

Poleni maana ni ndefu kiasi.

I'm done.
 
Kumbe ni ubishi tu.
Inakupasa ufahamu kuwa Mungu hayupo na uwaeleweshe watu sio kubishana nao.

Mimi huwa sibishani bali napenda kujifunza vitu vipya na kuwaelekeza watu wengine vitu vipya.

Ukiona unaamini uwepo wa Mungu, basi fahamu ya kwamba wewe ni moja kati ya wale waliokusudiwa kufanywa waamini uwepo wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana

I'm done.
Mkuu usiwaamini sana hao wanaojaribu kukuaminisha kwamba hiyo tochi iliharibika tu katika mazingira ya kawaida ya matumizi, hilo tukio lilikuja na hofu ambayo hukuitarajia na ambayo iliweeka ufahamu ndani yako kutambua uwepo wa Mungu kinyume na ulivyokuwa unaamini hapo awali. Hiyo hofu inaitwa hofu ya Mungu au hofu ya roho wa Mungu ambayo inakupa tahadhari ufanye toba na kuacha maovu yote ikiwemo na hili la kukana uwepo wake kabla mambo yako ya mahusiano na Mungu hayajaharibika zaidi.
 
Nyumisi umesema kilicho akilini mwangu ndio ninachoamini ni hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom