Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Victor ndiye aliyembeba mlipuaji kama abiria wa boda boda

Weledi wa polisi wa Tanzania umeishia hapo! Wana homework nyingi, zipo wazi lakini hawataki kuthubutu kusema ukweli?
Victor hakutakiwa kutajwa kirahisi kuwa ndo alirusha, ila baada ya kujidhihirisha sana.

Cha msingi watuambie kutoka Zanzibar, Dar na Busegesege, nani yupo nyuma? Nani masterplanner wao? Naona ngonjera za akina kova na mkenya zimeanza arusha, kila kitu wanachukulia majibu kuwa ni siasa.
nakubaliana n a wewe ila tuvute subira ndugu, FBI hawabahatishagi na wao wako kazini
 
Kama kweli ni hiyvyo, huyu kijana hana kosa. Yeye alipeleka mteja, sasa huyo Mteja ndio atafutwe.
 
Issue ya Ulimboka walimkamata Kichaa, hili la magaidi, wanakwenda kumkamata mwendesha boda boda ili ku-balance story! Ngoja FBI wanaowajua magaidi kwa itikadi zao waje kuwakamata Magaidi wa kweli na si hawa wa kuchonga wa Nchimbi.
Kwani unafikiri atakubali kirahisi kuwa alikuwa mshirika wa hilo tukio ? Kama hakuwa ana husika kitu gani kilimfanya akimbie huku akipiga kelele za mwizi ?? Kuna mambo mengi bado hayajafumuliwa ikiwemo mambo ya kisiasa hasa ukizingatia uchaguzi wa madiwani Arusha . Embu tusubiri tuone F.B.I watasemaje kwenye hili tukio maana polisi wetu hawaminiki .
 
Ofisi ya DPP ilivyo janga la kitaifa, hukawii kusikia kwenye hati ya mashtaka imeandikwa Victor kama ndiye mtuhumiwa namba moja kwenye kesi ya ugaidi. Unategemea nini zaidi ya mahakama kutupilia mbali kesi hii.

Nikweli kabisa hata mlipuaji alijua anachokifanya kwanzia kwa mtu aliyemkodi kuwa ni lazima atang'ang'aniwa yeye huyo bodaboda wake ili yeye apate nafasi ya kukimbia kirahisi.
 
Hatimae nimejua Ambrose ni nani.!

Kumbe polisi hakuna chochote walichofanya zaidi ya siasa, Ambrose mwenyewe alikamatwa na raia na sio polisi.

na hii ya kusema tukio haliusiani na udini wanaitoa wapi ikiwa mtuhumiwa mwenyewe hajakamatwa.?
 
Mungi asante sana kwa taarifa nzuri umetoa ufafanuzi mzuri sana
 
Last edited by a moderator:
Aksante sana mkuu Mungi, i salute you....hadi hapo picha imeshaharibika.
 
Last edited by a moderator:
Tuache kutafuta mchawi ni nani, tuwaachie polisi na FBI wafanye kazi yao! Kesho ijumaa kutakua na maandamano makubwa hapa Arusha yakitokea Hospitali ya Mount Meru kuanzia pale Mochwari kuelekea kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi kwenda kuwazika wale wahanga wa mlipuko wa bomu lililotokea jumapili 5! wenye mapenzi mema mnakaribishwa.

Mimi pia nitashiriki!
 
napata hasira sana jamani namwonea huruma huyu mtoto yatima lol
 
Kama kweli dogo alikodishwa na mtu ambaye hamfahamu,na alipofika kanisani jamaa akateremka akakimbia,sasa naweza elewa kwanini alikua anakimbia akisema mwizi mwizi mwizi...! Lakini naanza kupata picha kwamba hata hao waarabu watakua hawahusiki. Waliopanga dili zima bado wanatembea huru mtaani!
 
Kwani unafikiri atakubali kirahisi kuwa alikuwa mshirika wa hilo tukio ? Kama hakuwa ana husika kitu gani kilimfanya akimbie huku akipiga kelele za mwizi ?? Kuna mambo mengi bado hayajafumuliwa ikiwemo mambo ya kisiasa hasa ukizingatia uchaguzi wa madiwani Arusha . Embu tusubiri tuone F.B.I watasemaje kwenye hili tukio maana polisi wetu hawaminiki .[/QUOT]

Lakini mkubwa japo halijafikia mwisho kiuchunguzi..si amesema mleta mada hapo kuwa wenzake walimwambia kuwa kuna mtu alitaka kumdhulumu hela/pesa yake ya ujira wa bodaboda ndio akawa anamkimbiza na neno mwizi ndio ambalo lingefaa sana kumpata huyo mjamaa..bado POLISI na MASHUSHU wengine wanakazi ya kumpata nani ni Muhusika hasa...
 
Hatimae nimejua Ambrose ni nani.!

Kumbe polisi hakuna chochote walichofanya zaidi ya siasa, Ambrose mwenyewe alikamatwa na raia na sio polisi.

na hii ya kusema tukio haliusiani na udini wanaitoa wapi ikiwa mtuhumiwa mwenyewe hajakamatwa.?
napatwa hasira sana na wasiwasi wa Kardinali pengo ameshalishwa siasa ndani ya moyo wake yule mzee,hekima ishamtoweka kabisaa.nchimbi hafai kabisa kuwa waziri huwezi taja jina la mtu kabla upelelezi haujafanyika tha bullshits
 
Kama kweli dogo alikodishwa na mtu ambaye hamfahamu,na alipofika kanisani jamaa akateremka akakimbia,sasa naweza elewa kwanini alikua anakimbia akisema mwizi mwizi mwizi...! Lakini naanza kupata picha kwamba hata hao waarabu watakua hawahusiki. Waliopanga dili zima bado wanatembea huru mtaani!
hao waarabu umesikia hata majina yao ndugu hamna mwarabu aliyekamatwa ,walahi ningekuwa nauwezo bora kuangamiz kile kizazi mle ndani ya bunge tuanze upya kwa kweli wanaudhi sana wale watu.nakosa uvumilivu ngoja nioondoke humu maana mada hizi ndio mods wanazipenda
 
Back
Top Bottom