Tukio la kushangaza la kikombe

Tukio la kushangaza la kikombe

Je? Unalala chumba kimoja na huyo Dada wa kazi Kama mzee mmoja maarufu anavyofanya?
Je? Mnalala kitanda kimoja?
Je? Ulibahatika katika Maisha yako kusoma na kuelewa fizikia?
 
Ndiyo hapo tunapokosea...
Kwenye mambo kama hayo unategesha camera unakuja kuangalia asubuhi nini kiliendelea...





Cc: mahondaw
 
Wakuu kuna kitu cha kushangaza kimetokea sijakielewa.

Jana jioni wakata naandaa chai (Mimi napenda kunywa chai jioni) kuna kikombe kidogo kilizama ndani ya kikombe kingine kikubwa cha udongo. Kwa namna vilivyoshikana ilikuwa ngumu sana kuvitenganisha hata nilipojaribu kwa muda mrefu sana. Hatimaye nilikata tamaa nikajisemea nitajaribu kuvitenganisha asubuhi.

Sasa cha ajabu asubuhi naamka nafika sebuleni nakuta vikombe vimetenganishwa. Hapa nyumbani naishi na dada wa kazi, hivyo nikamuuliza kama ndiye akasema hapana. Na kwa vyovyote siyo yeye kwasababu wala hakuwa na taarifa ya hivyo vikombe kuungana coz ilikuwa ameshalala muda napika chai.

Kwa sasa nipo njiapanda wala sielewi hili tukio limetokea vipi? Je, ni nguvu gani iliyotumika kutenganisha hivi vikombe. Muujiza gani huu?

Naombeni msaada wenu kwasababu maswali ni mengi ila muda mchache.
Hiyo ni Effect ya Pressure na vacuum (utupu bila hewa). Soma kuhusu Magedeburg Hemispheres. Ni ndogo saizi ya mpira wa watoto lakin farasi wawili walifungwa huku na huku wakashindwa kuzitenganisha. Zilikuwa zimeshikana kama ulivyosjhikamanisha hivyo vikombe vyako
 
Back
Top Bottom