Tukio la kushangaza la kikombe

Tukio la kushangaza la kikombe

Wakuu kuna kitu cha kushangaza kimetokea sijakielewa.

Jana jioni wakata naandaa chai (Mimi napenda kunywa chai jioni) kuna kikombe kidogo kilizama ndani ya kikombe kingine kikubwa cha udongo. Kwa namna vilivyoshikana ilikuwa ngumu sana kuvitenganisha hata nilipojaribu kwa muda mrefu sana. Hatimaye nilikata tamaa nikajisemea nitajaribu kuvitenganisha asubuhi.

Sasa cha ajabu asubuhi naamka nafika sebuleni nakuta vikombe vimetenganishwa. Hapa nyumbani naishi na dada wa kazi, hivyo nikamuuliza kama ndiye akasema hapana. Na kwa vyovyote siyo yeye kwasababu wala hakuwa na taarifa ya hivyo vikombe kuungana coz ilikuwa ameshalala muda napika chai.

Kwa sasa nipo njiapanda wala sielewi hili tukio limetokea vipi? Je, ni nguvu gani iliyotumika kutenganisha hivi vikombe. Muujiza gani huu?

Naombeni msaada wenu kwasababu maswali ni mengi ila muda mchache.

Weka Picha ili tuweze kujua nguvu gani ilitumika.
 
Ulikuwa hujanywa bia kweli?
 
Hiki kikombe kidogo ni cha plastiki vile vya kufunika thermos. Huwa nakitumia kuchotea unga wakati wa kusonga ugali. Kikombe kingine kikubwa ni cha udongo.
Mh! Kama ni cha udongo sio rahisi kiruke hadi kigeuke
 
Wakuu kuna kitu cha kushangaza kimetokea sijakielewa.

Jana jioni wakata naandaa chai (Mimi napenda kunywa chai jioni) kuna kikombe kidogo kilizama ndani ya kikombe kingine kikubwa cha udongo. Kwa namna vilivyoshikana ilikuwa ngumu sana kuvitenganisha hata nilipojaribu kwa muda mrefu sana. Hatimaye nilikata tamaa nikajisemea nitajaribu kuvitenganisha asubuhi.

Sasa cha ajabu asubuhi naamka nafika sebuleni nakuta vikombe vimetenganishwa. Hapa nyumbani naishi na dada wa kazi, hivyo nikamuuliza kama ndiye akasema hapana. Na kwa vyovyote siyo yeye kwasababu wala hakuwa na taarifa ya hivyo vikombe kuungana coz ilikuwa ameshalala muda napika chai.

Kwa sasa nipo njiapanda wala sielewi hili tukio limetokea vipi? Je, ni nguvu gani iliyotumika kutenganisha hivi vikombe. Muujiza gani huu?

Naombeni msaada wenu kwasababu maswali ni mengi ila muda mchache.
Kwanza toka hapo njia panda urudi kwako. Hujui njia panda ndo wachawi wengi wanafanyia mambo yao.
 
Ni dada wa kazi ila sasa utakuwa ulimuuliza kwa hamaki akaogopa akajua labda ulifanya hivyo kwa makusudi hivyo bora akatae ili asije akaonekana ameharibu.

Khs kushindwa kutoa hito ni condition tu wakati huo pressure ilikuwa kubwa na baadae ikapungua.
 
Uongo mtakatifu vikombe vimenasiana, alafu bila jitiada au mtu yeyote wa kuvichomoa vijichomoe usimudanganye muambie aende aither kanisani au kwa sangoma.
Kitaalam joto ndilo lilivitenganisha hivyo vyombo.
Bila shaka kikombe kilichodumbukia ndani ya kingine ni chepesi alafu kilikuwa hakijaacha nafasi ya kupumulia/yaani kilijaza vizuri bila kuacha pancha yoyote.
Pia inaonekana ndani ya kikombe kikubwa kulikuwa na vitone vya maji.
Sasa baadae kutokana na joto, vile vitone vya maji vilitoneshwa na kuwa hewa yenye unyevunyevu ambapo hewa hiyo ilifanya kuwe na presure kati ya kikombe kikubwa na kidogo hali iliyopelekea kikombe cha ndani kurushwa na kutua pembeni ya kikombe kikubwa.

Ondoa hofu usitatanishwe na wanaowaza ushirikina kila mara.
 
Kwa ninavyokujua wewe utakua ulivitenganisha mwenyewe Ila umesahau.
 
Wakuu kuna kitu cha kushangaza kimetokea sijakielewa.

Jana jioni wakata naandaa chai (Mimi napenda kunywa chai jioni) kuna kikombe kidogo kilizama ndani ya kikombe kingine kikubwa cha udongo. Kwa namna vilivyoshikana ilikuwa ngumu sana kuvitenganisha hata nilipojaribu kwa muda mrefu sana. Hatimaye nilikata tamaa nikajisemea nitajaribu kuvitenganisha asubuhi.

Sasa cha ajabu asubuhi naamka nafika sebuleni nakuta vikombe vimetenganishwa. Hapa nyumbani naishi na dada wa kazi, hivyo nikamuuliza kama ndiye akasema hapana. Na kwa vyovyote siyo yeye kwasababu wala hakuwa na taarifa ya hivyo vikombe kuungana coz ilikuwa ameshalala muda napika chai.

Kwa sasa nipo njiapanda wala sielewi hili tukio limetokea vipi? Je, ni nguvu gani iliyotumika kutenganisha hivi vikombe. Muujiza gani huu?

Naombeni msaada wenu kwasababu maswali ni mengi ila muda mchache.
Ulitenganisha ni wewe mwenyewe ila kwa sababu baada ya hapo ulienda kulala hivyo ukasahau, au labda usingizini ukaota hilo tukio na ndoto ikaishia kuwa umeshindwa kutenganisha. baada ya kuamka umeshindwa kupambanua tukio halisi na ndoto. Hayo mambo hutokea hasa kwa sisi ambao umri umeshafika late 30s kuendelea Trust me hakuna zaidi ya hapo
 
Wakuu kuna kitu cha kushangaza kimetokea sijakielewa.

Jana jioni wakata naandaa chai (Mimi napenda kunywa chai jioni) kuna kikombe kidogo kilizama ndani ya kikombe kingine kikubwa cha udongo. Kwa namna vilivyoshikana ilikuwa ngumu sana kuvitenganisha hata nilipojaribu kwa muda mrefu sana. Hatimaye nilikata tamaa nikajisemea nitajaribu kuvitenganisha asubuhi.

Sasa cha ajabu asubuhi naamka nafika sebuleni nakuta vikombe vimetenganishwa. Hapa nyumbani naishi na dada wa kazi, hivyo nikamuuliza kama ndiye akasema hapana. Na kwa vyovyote siyo yeye kwasababu wala hakuwa na taarifa ya hivyo vikombe kuungana coz ilikuwa ameshalala muda napika chai.

Kwa sasa nipo njiapanda wala sielewi hili tukio limetokea vipi? Je, ni nguvu gani iliyotumika kutenganisha hivi vikombe. Muujiza gani huu?

Naombeni msaada wenu kwasababu maswali ni mengi ila muda mchache.
Unahitaji msaada gani? Kwako kuna cctv ?
 
Usiumize kichwa chako... Acha kufikiria chochote... Fanya kama hko kitu hakijatokea...

Kwa maana hata ukifikiria vipi,huwez pata majibu
Wakuu kuna kitu cha kushangaza kimetokea sijakielewa.

Jana jioni wakata naandaa chai (Mimi napenda kunywa chai jioni) kuna kikombe kidogo kilizama ndani ya kikombe kingine kikubwa cha udongo. Kwa namna vilivyoshikana ilikuwa ngumu sana kuvitenganisha hata nilipojaribu kwa muda mrefu sana. Hatimaye nilikata tamaa nikajisemea nitajaribu kuvitenganisha asubuhi.

Sasa cha ajabu asubuhi naamka nafika sebuleni nakuta vikombe vimetenganishwa. Hapa nyumbani naishi na dada wa kazi, hivyo nikamuuliza kama ndiye akasema hapana. Na kwa vyovyote siyo yeye kwasababu wala hakuwa na taarifa ya hivyo vikombe kuungana coz ilikuwa ameshalala muda napika chai.

Kwa sasa nipo njiapanda wala sielewi hili tukio limetokea vipi? Je, ni nguvu gani iliyotumika kutenganisha hivi vikombe. Muujiza gani huu?

Naombeni msaada wenu kwasababu maswali ni mengi ila muda mchache.
 
Jaribu kucheza charlie charlie challenge, ukiona vipenseli vinacheza jua kuna namna ndani Kwako 😀
 
inakuonesha ukiolewa utaachika kama hivyo [emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu kuna kitu cha kushangaza kimetokea sijakielewa.

Jana jioni wakata naandaa chai (Mimi napenda kunywa chai jioni) kuna kikombe kidogo kilizama ndani ya kikombe kingine kikubwa cha udongo. Kwa namna vilivyoshikana ilikuwa ngumu sana kuvitenganisha hata nilipojaribu kwa muda mrefu sana. Hatimaye nilikata tamaa nikajisemea nitajaribu kuvitenganisha asubuhi.

Sasa cha ajabu asubuhi naamka nafika sebuleni nakuta vikombe vimetenganishwa. Hapa nyumbani naishi na dada wa kazi, hivyo nikamuuliza kama ndiye akasema hapana. Na kwa vyovyote siyo yeye kwasababu wala hakuwa na taarifa ya hivyo vikombe kuungana coz ilikuwa ameshalala muda napika chai.

Kwa sasa nipo njiapanda wala sielewi hili tukio limetokea vipi? Je, ni nguvu gani iliyotumika kutenganisha hivi vikombe. Muujiza gani huu?

Naombeni msaada wenu kwasababu maswali ni mengi ila muda mchache.
wasiliana na mzee lowasa hizo nguvu anazo
 
Back
Top Bottom