Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,208
[emoji3][emoji3][emoji3]uchawi upo
cc mshana jr
Jioni=Evening. Nadhani nilitafsiri kwa Kiingereza. Baada ya ufafanuzi huo, jikite kwenye mada tafadhali.Beki 3 analala jioni?
Sasa unataka tujadili vikombe vyako vimenasiana.?Jioni=Evening. Nadhani nilitafsiri kwa Kiingereza. Baada ya ufafanuzi huo, jikite kwenye mada tafadhali.
Ione mibavicha jadili mada sio mtu akilo zenu mnazijua wenyewehe jion? dada wa kazi? ameshalala? unapika mwenyew? upo single? uyo dada anafanya kazi gani?? unganisha izo keypoint utapata jibu vimetokaje
sasa uchawi wako unatuletea??😂Ione mibavicha jadili mada sio mtu akilo zenu mnazijua wenyewe
Popobawa ni nini kaka?Iyo style ya popopawa siku si nyingi atakuingilia kimwili, iliisha mtokea dada yangu kama wewe ivyo ivyo
Nakushauri ununue KY au kilainishi chochote,
Utakuja kunishukuru baadae TRUST ME
Naombeni msaada wenu kwasababu maswali ni mengi ila muda mchache
metaphor?Wakuu kuna kitu cha kushangaza kimetokea sijakielewa.
Jana jioni wakata naandaa chai (Mimi napenda kunywa chai jioni) kuna kikombe kidogo kilizama ndani ya kikombe kingine kikubwa cha udongo. Kwa namna vilivyoshikana ilikuwa ngumu sana kuvitenganisha hata nilipojaribu kwa muda mrefu sana. Hatimaye nilikata tamaa nikajisemea nitajaribu kuvitenganisha asubuhi.
Sasa cha ajabu asubuhi naamka nafika sebuleni nakuta vikombe vimetenganishwa. Hapa nyumbani naishi na dada wa kazi, hivyo nikamuuliza kama ndiye akasema hapana. Na kwa vyovyote siyo yeye kwasababu wala hakuwa na taarifa ya hivyo vikombe kuungana coz ilikuwa ameshalala muda napika chai.
Kwa sasa nipo njiapanda wala sielewi hili tukio limetokea vipi? Je, ni nguvu gani iliyotumika kutenganisha hivi vikombe. Muujiza gani huu?
Naombeni msaada wenu kwasababu maswali ni mengi ila muda mchache.