Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Husika na kichwa cha habari hapo juu


Ni tikuo kubwa sana ambalo huwa nalikumbuka had leo, nikikumbuka huwa nabaki na maswali mengi sana

Vp kama ningekamatwa?
Endapo ningekamatwa dunia ingenielewaje?
Ndugu zangu wangeficha wap sura zao?
Ningetangazwa kwenye vyombo vya habar vya radio na runinga kwa siku ngap?
Ningeenda kutubu wap zambi zangu?
Kanisa katoliki lingenielewaje? Kumbuka wakati huo nilikuwa mtumikiaji wa kanisa kwa paroko

Twende pamoja

Ilikuwa ni siku ya ijumaa saa nne na nusu za usiku nikiwa mimi na ndugu yangu mtoto wa shangaz yangu aitwaye makoye,

Tulikuwa tuna ahad ya msichana ambaye alinambia niende nikapige mamboz hivyo nilimwambia ndugu yangu anisindikize, nilifika nyumbam kwao na huyo demu nikagonga dirishana kwao, wakati nagonga dirisha alitokea mtu akiwa ma fimbo kubwa na kuanza kunifukuzu na mbwa huku akiita mwizi mwizi mwiz tulikimbia sana had barabaran ambapo tulijificha chin ya mawe ambayo yalikuwa yamekusanywa na wachina wakiwa wanajenga barabara la lami

Nilichubuka kidogo maeneo ya got kwa sababu nilianguka wakati ule nakimbia, tukiwa tuko chin ya mawe tulianza kuulizana ni nan huyo katukimbiza mi nilimwambia sijui hapa kilichopo tulud tu home ndugu yangu hii mbunye kwa leo nimeikosa

GHAFULA KICHWANI NILIPATA WAZO LA KUTEKA MAGARI nilimwambia ndugu yangu makoye tuteke magar tupate hela, fata panga home na kweli bila kusita alifata panga nyumban na fyekeo akaniacha pale chin ya mawe nikiwa nimekaa, mda kidogo alirud

tulipanga mawe barabaran makubwa na madogo

Kwa muda kama wana robo saa hiv kuna gar aina ya coster yenye abiria ilikuja, baada ya kuona mawe hayo ilipiga break na watu waliokuwemo kwenye gar walipiga kelele kwa vilio huku wengine wakisema yesu yesu yesu tuokoe na majambaz haya

Makoye aliamulisha kwa saut kubwa SHUKA WOTEEEE UPES NA HARAKA, hawakushuka kumbe mmoja alikuwa amepiga cm police mda kidogo tu tenga yaan gar la police lilifika likiwa na police waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto aina ya SMG na AK 47

Niliogopa sana aisee, police waliogopa kushuka kwenye gar wakisubili tuanzishe mashambuliz ili wajue adui yuko upande upi ili nao wajibu walikaa kwenye gar kwa mda kama wa nusu hivi wakiwa wako tayar kwa lolote lile ndo wakashuka na kutegua yale mawe na ile gar kuweza kupita na abiria wale waliwashukuru sana police kwa kuwah eneo husika

Police walianza msako lakin hawakutuona maana tulikuwa tumejificha sana

Baadae police walisepa na sisi tukasepa ngoma ikawa droo

Ilikuwa ni huko mwanza

THIS IS TRUE STORY


LONDON BABY
 
Back
Top Bottom