Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Wakuu,
Baada ya taarifa za kuchomwa moto Ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Arusha, Polisi kutoka Kikosi cha Zima Moto Makao makuu ya jeshi la Polisi wamewasili Arusha kwa uchunguzi zaidi.
Hii ni kutokana na taarifa za awali za uchunguzi wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha kupingana na uhalisia wa tukio la moto lilivyokuwa.
Uchunguzi wa Awali wa polisi Arusha ulionekana upo kisiasa zaidi, kitendo kilichochangia CHADEMA kutoshiriki kongamano la Amani na Serikali ambapo jeshi la polisi ni sehemu ya kongamano hili.
Hivi sasa polisi wapo njiani wakitokea central wanaongozana na Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arusha kamanda Martine Sarungi.
stay tuned!!!!