Tukio la Kuchomwa Ofisi ya CHADEMA Arusha; Polisi kutoka Makao Makuu ya Polisi wawasili Arusha

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Wakuu,

Baada ya taarifa za kuchomwa moto Ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Arusha, Polisi kutoka Kikosi cha Zima Moto Makao makuu ya jeshi la Polisi wamewasili Arusha kwa uchunguzi zaidi.

Hii ni kutokana na taarifa za awali za uchunguzi wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha kupingana na uhalisia wa tukio la moto lilivyokuwa.
Uchunguzi wa Awali wa polisi Arusha ulionekana upo kisiasa zaidi, kitendo kilichochangia CHADEMA kutoshiriki kongamano la Amani na Serikali ambapo jeshi la polisi ni sehemu ya kongamano hili.

Hivi sasa polisi wapo njiani wakitokea central wanaongozana na Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arusha kamanda Martine Sarungi.

stay tuned!!!!
 
Polisi wana majukumu mengi katika kuwatumikia watanzania, Acheni kuwasumbua kwa ajili ya michezo yenu ya kitoto.

Binti Mwasha, ambaye ni secretary kwenye ofisi hiyo, siku ya tukio alichelewa kufika kazini kwa masaa mawili na nusu!

Mlinzi wa ofisi hiyo siku ya tukio aliondoka mapema sana alfajiri.

Uchunguzi wa awali unaonyesha moto huo umezimwa kwa hewa chafu ya CO2.

Na mkutano wa hadhara ulikuwa umeshaandaliwa. Baada ya tukio tu mkutano ukafanyika na watu wote muhimu walikuwepo bila udhuru...

Maandalizi yalikuwa madhubuti...
 
Dr.Iman Hamza Kondo......
 
Akili yako inakutosha wewe mwenyewe. uwongo ni fani yako
 
uongozi legelge huzaa serikali legelege serikali legelege huzaa taifa legelege... mpaka mwisho, nchi haina muelekeo! inaelkea upepo unako puliza,, baada ya mika 50 y uhuru tunacho jivunia ni siasa chafu majungu na ufisadi... hivi hii nchi ililaaniwa!!!????
 
Wakuu,

Baada ya taarifa za kuchomwa moto Ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Arusha, Polisi kutoka Kikosi cha Zima Moto Makao makuu ya jeshi la Polisi wamewasili Arusha kwa uchunguzi zaidi.

Hii ni kutokana na taarifa za awali za uchunguzi wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha kupingana na uhalisia wa tukio la moto lilivyokuwa.
Uchunguzi wa Awali wa polisi Arusha ulionekana upo kisiasa zaidi, kitendo kilichochangia CHADEMA kutoshiriki kongamano la Amani na Serikali ambapo jeshi la polisi ni sehemu ya kongamano hili.

Hivi sasa polisi wapo njiani wakitokea central wanaongozana na Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arusha kamanda Martine Sarungi.

stay tuned!!!!

Ofisi mchome wenyewe majanga mleteee polisi, kwendeni zenu huko sa hivi chama kinapukutika kama majani makavu kwenye moto mkali. OVyo kabisa .
 
Mungi , Mshauri Ndugu Lema, hili suala la Zitto likiisha kuchuja kwenye headlines za magazeti, tupige kibiriti Ufipa, ili tuendelee ku-make headlines...
 
Last edited by a moderator:
wakuu,

baada ya taarifa za kuchomwa moto ofisi ya chadema mkoa wa arusha, polisi kutoka kikosi cha zima moto makao makuu ya jeshi la polisi wamewasili arusha kwa uchunguzi zaidi.

Hii ni kutokana na taarifa za awali za uchunguzi wa jeshi la polisi mkoa wa arusha kupingana na uhalisia wa tukio la moto lilivyokuwa.
Uchunguzi wa awali wa polisi arusha ulionekana upo kisiasa zaidi, kitendo kilichochangia chadema kutoshiriki kongamano la amani na serikali ambapo jeshi la polisi ni sehemu ya kongamano hili.

Hivi sasa polisi wapo njiani wakitokea central wanaongozana na katibu wa chadema wilaya ya arusha kamanda martine sarungi.

Stay tuned!!!!

haliitaji utafiti kujua ofisi imeunguzwa na wenyeji .
 
Tayari timu ya uchunguzi imefanya kazi yake, ni timu ya wataalam iliyokamilika kama hawataingiza siasa
 
Kamanda Mungi,

Naona siku hizi mmeanza kuwaamini polisi. Hata kule Kigoma Slaa alikuwa benet na polisi wanne kuhakikisha yuko salama.

Ugomvi na polisi ni ujinga uliopindukia...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom