Tukio la kihstoria

ni jambo zuri na somo kwetu wakati wa shida na matatizo tofauti zetu zinapaswa kuwekwa pembeni ili kusaidiana.
 
Kifo cha madiba kinawakusanya wema na wanafiki pamoja.binaadamu ni nuksi sana.
 
maisha ni safari. hebu mlinganishe Raul Castro wa miaka ya 1960's akiwa na wanaharakati wenzake akina Ernesto che Guevara, comrade Antonio Nunez Jimenez, Comrade Almeida na makamanda wengine. hii nadhan kabla obama hajazaliwa au akiwa chini ya miaka miwili
 

Attachments

  • che and raul castro.jpg
    che and raul castro.jpg
    47.1 KB · Views: 134
  • wanarevltnrs.jpg
    wanarevltnrs.jpg
    42.5 KB · Views: 127
Mandela alikuwa mpenda amani naamini uko alipo alifarijika sana kuona mataifa haya mawili yakikutana pamoja katika msiba wake.

Sent from BlackBerry 9520
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom