mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,700
- 2,357
Kweliii Yale mambo umeachaNdio mkuu
Kweliii Yale mambo umeachaNdio mkuu
Seriously niliokoka na kuacha kila kitu cha giza soma hiiKweliii Yale mambo umeacha
SawaSeriously niliokoka na kuacha kila kitu cha giza soma hii
Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini | Page 4 | JamiiForums Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini
Ushirikina wa Uchaguzi fekiHalafu huyo nyau ilikuwa mitaa ya kwa mbunge wa Kinondoni
Huyo paka Mweusi atakuwa ni ponjoroUshirikina wa Uchaguzi feki
Sasa kwa uzoefu wako kwenye mambo ya giza kama ambavyo umekuwa ukijinasibu humu hilo tukio dogo tu ndiyo liwe la ajabu kwako hadi likukoseshe usingizi? Binafsi siyo muumini wa hizo mambo lakini pia kwenye story yako sijaona cha ajabu cha kupelekea mtu mzima akose usingizi.Seriously niliokoka na kuacha kila kitu cha giza soma hii
Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini | Page 4 | JamiiForums Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini
Uko sawa kwa mtazamo wako lakini kwangu pamoja na uzoefu wangu limekuwa la ajabu sanaSasa kwa uzoefu wako kwenye mambo ya giza kama ambavyo umekuwa ukijinasibu humu hilo tukio dogo tu ndiyo liwe la ajabu kwako hadi likukoseshe usingizi? Binafsi siyo muumini wa hizo mambo lakini pia kwenye story yako sijaona cha ajabu cha kupelekea mtu mzima akose usingizi.
Naenda mwaka wa tatu sasa tangu niachane na tunguli